eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Hiyo ndio maana halisi ya wanaume wanaojiamini mkuu mentor,Arsenal wanaonesha wana uchu na kombe kuliko sisi. Waliwasili Baku Jumamosi ilhali sisi ni Jana tu ndo timu imewasili.
Kwa leo kushinda ni wachezaji wenyewe waamue tu kwa kweli.
sawa sawa kiko poa tuKikosi cha Chelsea kinachoanzaView attachment 1111610
Labda ndoo ya maviLeo Chelsea anabeba ndoo. A perfect farewell gift to Hazard and Sarri
Poleni. Mwombeni Mungu atawasaidiaArsenal wanaonesha wana uchu na kombe kuliko sisi. Waliwasili Baku Jumamosi ilhali sisi ni Jana tu ndo timu imewasili.
Kwa leo kushinda ni wachezaji wenyewe waamue tu kwa kweli.
Wanaonyesha channel zipi?
Kawaida Chelsea mbovu ndio inayochukuaga kombe final!Wachezaji wanacheza hovyo hakuna muunganiko yaani tumepooza
Mungu tusaidie chelsea tunyanyue kwapa leo