eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Kwa maoni yangu walio tayari hapo ni, pulisic, zouma, batshuay,Rasilimali za Chelsea zilizo tayari hizi hapa
- Reece James – Wigan Athletic -20-year-old play as RB
- Ola Aina – Torino - 22-year-old play as RB
- Kurt Zouma – Everton - The 24-year-old play as CB kama huamini angalia hapa https://www.youtube.com/watch?v=KIq5mVQsEMs
- Christian Pulisic – Borussia Dortmund - 20-year-old play as LW
- Tammy Abraham – Aston Villa -21-year-old play as striker
- Mason Mount – Derby County - 20-year-old play asMidfield
Higuaín bado ila Sarri akibakia ni asilimia kubwa ataongezewa loan kwa sababu agreement ya Chelsea na Juve inaruhusu extension ya loanKwani Higuain kaongezwa mkataba.? Pamoja na hivyo nadhani hatufai huyu jamaa. Tuwape nafasi kina Tammy na Batshuayi.
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullbackHaujawataja Batshuayi, Tomori na Bakayoko.
Higuaín bado ila Sarri akibakia ni asilimia kubwa ataongezewa loan kwa sababu agreement ya Chelsea na Juve inaruhusu extension ya loan
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullback
Sarri hatuna option, Juve baada ya kuchungulia kiasi Chelsea watadai kwa kumchukua Sarri wameamua kumgeukia Pochettino, Pep na Conte. Na najua Chelsea hawako tayari kumfukuza Sarri asije kudai mkataba wake wa Paundi mil 5. Sarri tunaye angalau kwa mwaka mmoja ujaoSarri abaki. Wewe unasemaje.?
Eden kwa Tammy Abraham umekosea, mimi Nampa credits Tammy over BatshuayiKwa maoni yangu walio tayari hapo ni, pulisic, zouma, batshuay,
Hao wengine waendelee na mikopo waive vizuri, kwa sababu hata wakirudi hawana nafasi kwenye kikosi cha kwanza
Sarri hatuna option, Juve baada ya kuchungulia kiasi Chelsea watadai kwa kumchukua Sarri wameamua kumgeukia Pochettino, Pep na Conte. Na najua Chelsea hawako tayari kumfukuza Sarri asije kudai mkataba wake wa Paundi mil 5. Sarri tunaye angalau kwa mwaka mmoja ujao
Ni ngumu sana kwa Chelsea kupata kocha ambaye tayari ana mkataba na timu yake mfano huyo Pochetino, labda tujaribu kwa hao wanaotimuliwa na timu zao kwa kufanya vibaya hao ndio tunaweza kuwapata, historia ya Chelsea inajulikana kuwa hatuwezi kudumu na makocha misimu miwili mfululizo.Pep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.
Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Hii kitu inatu cost mnoo ndio maana kila msimu tunapumulia mshine. Msimu huu tunaweza kuwa moto msimu ujao tunakua hoi. Tumuache Sarri ajenge timu tutakuja kufurahia baadae.Ni ngumu sana kwa Chelsea kupata kocha ambaye tayari ana mkataba na timu yake mfano huyo Pochetino, labda tujaribu kwa hao wanaotimuliwa na timu zao kwa kufanya vibaya hao ndio tunaweza kuwapata, historia ya Chelsea inajulikana kuwa hatuwezi kudumu na makocha misimu miwili mfululizo.
board ya Chelsea inakosa uvumilivu wenyewe wanawaza tu kushinda makombe, hawajui kocha na yeye anatakiwa apewe muda wa kujenga timuHii kitu inatu cost mnoo ndio maana kila msimu tunapumulia mshine. Msimu huu tunaweza kuwa moto msimu ujao tunakua hoi. Tumuache Sarri ajenge timu tutakuja kufurahia baadae.
board ya Chelsea inakosa uvumilivu wenyewe wanawaza tu kushinda makombe, hawajui kocha na yeye anatakiwa apewe muda wa kujenga timu
Uko sawa, Conte hakuondoka vizuri na pia latest news zinasema kuwa Conte anachukuliwa na Inter Milan. PEP bado ana mission ya UCL na Man cityPep tusahau, Pochettino 50/50 kwa Conte nahisi ndio haiwezekani kwa sababu ya kisanga kilichotokea wakati wake. Hapo wanaotajwa sana ni Tuchel na Lamps ambapo kwa Lampard naona bado ni mapema sana.
Kama Sarri ataamua kuondoka japo keshasema ana mapenzi na London basi naona Tuchel ndio atafaa.
Sarri alichukuliwa akiwa na mkataba na NapoliNi ngumu sana kwa Chelsea kupata kocha ambaye tayari ana mkataba na timu yake mfano huyo Pochetino, labda tujaribu kwa hao wanaotimuliwa na timu zao kwa kufanya vibaya hao ndio tunaweza kuwapata, historia ya Chelsea inajulikana kuwa hatuwezi kudumu na makocha misimu miwili mfululizo.
labda sikufuatilia vzuri, ila mm najua walikua washamchukua Anceloti tayari kabla hawajamtolea Sarri njeSarri alichukuliwa akiwa na mkataba na Napoli
Hapana, Ancellotti alichukuliwa baada ya Sarri kukubali ajira ya Chelsea.labda sikufuatilia vzuri, ila mm najua walikua washamchukua Anceloti tayari kabla hawajamtolea Sarri nje
Kwani Higuain kaongezwa mkataba.? Pamoja na hivyo nadhani hatufai huyu jamaa. Tuwape nafasi kina Tammy na Batshuayi.
Bakayoko hana mapenzi kabisa na Chelsea na mashabiki wengi wanashauri auzwe kabisa maana Milan wanamuhitaji, Batshuayi bado ni afadhali Tammy acheze along Giroud ambaye sasa confirmed kaongezewa mkataba.Uko sahihi kwa Tamori anaweza cheza na Luiz kwenye Central fullback
Batshuayi bado wakupewa nafasi? dah wabongo bana