Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
STRIKING FORCETathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.
BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.
MIDFIELD
Kiukweli nadhani Sarri ataendelea kumpa nafasi Jorginho na hata kiuhalisia Jorginho ameonyesha kiwango kizuri kwa baadhi ya mechi na hasa mechi 2-3 zilizopita sema anatakiwa apate mtu wa kumpa back up na kumpa changamoto na hakuna mwingine zaidi ya kumrudisha Bakayoko ukiangalia ana perform vizuri sana Ac Milan. Tukija kwa atacking midfielder nadhani hakuna shida Kante, Barkley, Kovacic na zaidi namuona mbali sana msimu ujao RLC. Atakuja kugombaniwa sana na vigogo huyu dogo.
Inaendelea.. Am ready to be corrected. Mnikosoe.
Tusubiri tuone, hata Mimi ningependa abakiKusaini sio issue, issue ni hajafanya maamuzi na sidhani kama ataondoka kwa fujo, kwa 75% inaelekea muda wowote atakubali kusaini mkataba kwa sababu
- kwanza anaupenda mfumo wa Sarriball,
- pili Chelsea kuingia top 4 ni motivation kwa wachezaji kama Hazard wanaotafuta makombe makubwa na
- tatu mapenzi waliyonayo mashabiki wa Chelsea kwa Hazard inaweza kumfanya akubalki kubaki
Hata unishawishi vipi sitaamini kamwe eti Sancho ana kiwango kumzidi pulisic kwa namna ninavyomjua pulisicMkuu hii sababu siyo kweli kabisa. Huwa namfuatilia sana huyu dogo na ni kweli anapata namba mara nyingi tu na kama hataanza basi lazima aingie baadae kwa sababu pia ni ushindani wa namba na Sancho.
Kwa malengo ya Chelsea huwezi kusema arudishwe fikayo, ni bora aendelee kucheza luiz tu kama tutafungiwa. ni bora hata mento aliesema zoumaTathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.
BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.
MIDFIELD
Kiukweli nadhani Sarri ataendelea kumpa nafasi Jorginho na hata kiuhalisia Jorginho ameonyesha kiwango kizuri kwa baadhi ya mechi na hasa mechi 2-3 zilizopita sema anatakiwa apate mtu wa kumpa back up na kumpa changamoto na hakuna mwingine zaidi ya kumrudisha Bakayoko ukiangalia ana perform vizuri sana Ac Milan. Tukija kwa atacking midfielder nadhani hakuna shida Kante, Barkley, Kovacic na zaidi namuona mbali sana msimu ujao RLC. Atakuja kugombaniwa sana na vigogo huyu dogo.
Inaendelea.. Am ready to be corrected. Mnikosoe.
Pulisic kanunuliwa kumpreplace Hazard, akina Willian na Pedro wamezeeka na hiyo ni backup kwa ajili yao sio Hazard, wa kumpreplace Hazard hasajiliwi kiholela, hivyo, Si unaona replace ya Courtois ilivyofanyika, ndivyo replacement ya Hazard itakavyofanywaTusubiri tuone, hata Mimi ningependa abaki
Na kama angekuwa anabaki sidhani kama Chelsea wangehangaika na pulisic
Tusubiri ila target ya hazard ni kuondoka, sema anataka kuondoka kwa amani kwa kuwa club imempa heshima kubwa mno toka anatoka LilePulisic kanunuliwa kumpreplace Hazard, akina Willian na Pedro wamezeeka na hiyo ni backup kwa ajili yao sio Hazard, wa kumpreplace Hazard hasajiliwi kiholela, hivyo, Si unaona replace ya Courtois ilivyofanyika, ndivyo replacement ya Hazard itakavyofanywa
Sasa hapa naweza msajili neres kwenye timu ya vijana then nikampandisha kwenye timu ya senior????Kaunafuu fln hivi mmepewa.View attachment 1091726
Mbona sioni unafuu, au English imenipita?Kaunafuu fln hivi mmepewa.View attachment 1091726
Sasa hapa naweza msajili neres kwenye timu ya vijana then nikampandisha kwenye timu ya senior????
Mbona sioni unafuu, au English imenipita?
Hapa nimekupata sasa...Appeal imekataliwa ila Mnaweza sajili mchezaji aliye chini ya miaka 16 tu. Hivyo above 16yrs hamruhusiw kusajili
Hahaha sasa hapo hakuna unafuu wowote, mtoto wa under 16? Atawasaidia nini?Appeal imekataliwa ila Mnaweza sajili mchezaji aliye chini ya miaka 16 tu. Hivyo above 16yrs hamruhusiw kusajili
Hapa nimekupata sasa...
Tuwashike sana magarasa yetu tulionayoa aisee kwa miaka miwili.
Hii miaka miwil loftus cheek atakua tishio england,nauona ugerrald na ulampard kwake
Hahaha sasa hapo hakuna unafuu wowote, mtoto wa under 16? Atawasaidia nini?
.Tathimini yangu kwa timu yetu pendwa kwa msimu ujao.
BACK LINE.
Chelsea kwa kweli tunahitaji mbadala wa Luiz yan beki mwenye experience na michuano ya ulaya halafu pia tuna hitaji mbadala wa Azpilicueta nadhani msimu ujao atarudishwa R. James aliyekuwa kwa mkopo Wigan. Kama kwenye back line hatutapata beki wa kati au rufaa itakataliwa basi tumrudishe Fikayo Tomori aliye kwa mkopo chini ya Lampard na Derby County, ni beki mzuri sana huyu dogo na ameshiriki 90% ya mechi zote za Derby County. Pia upande wa kushoto kumeshamalika uwepo wa Alonso na Emerson unatosha sana kuukabili msimu ujao. Kwa upande wa kipa hakuna mashaka tunaye mzuri na anaendana na bei yake ila naye caballero apewe mkataba kwa sababu unaisha msimu huu, so ni bora aendelee kuwa mbadala wa Kepa.
Ila nasikia wanakata rufaa kwenda CAS. Kuna uwezekano wakapunguziwa adhabu.
.MIDFIELD