Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
We jamaa hebu kuwa na akiba ya maneno. Unakujaga kukimbia jukwaa kwa sababu hizi. Mpira hautafsiriki kiivyo bhana.Toka Lin kwao hatari, je watamzuia Arsenal asipate goli ?
Maana kipind cha pili wameomba mpira uishe,halafu Valencia anacheza mpira lain sana
Mgumu ni Napoli na Frankfurt ,kama huna energy huponi,
Unataja Valencia, wanacheza Spanish football,walain sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Good bye 2018/19
Welcome 2019/20
Congratulation Man City kwa EPL
Congratulation Barca/Ajax kwa UCL
Congratulation Arsenal kwa UEROPA LEAGUE
Arsenal is a wonderkid. Washika mtutu sasa ni washiuka manati wasiotabirika. Waombee tu Valencia waweke gameplan isiyowork otherwise Arsenal ni timu ya kushanga dunia siku zoteKama kuomboleza inabid muomboleze nyie maana mlipigwa 4-0 then6-0
Tunazungumzia mech ya Jana ambayo tumeshinda 3-1
Kwa akil yako unadhan Valencia atamzuia Arsenal asiingie kamban?
Na akipotea akija mara nilikuwa field mara nilikuwa nasubmit reportWe jamaa hebu kuwa na akiba ya maneno. Unakujaga kukimbia jukwaa kwa sababu hizi. Mpira hautafsiriki kiivyo bhana.
We sema utaenda kupambana lakini usijihakikishie ushashinda
Bado hujamalizana na mjerumanBasi poa mkuu tukutane finally basi
Wewe ndio uwe na akiba ya maneno, na sikimbiagi utakuwa umenifananisha na nduguyoWe jamaa hebu kuwa na akiba ya maneno. Unakujaga kukimbia jukwaa kwa sababu hizi. Mpira hautafsiriki kiivyo bhana.
We sema utaenda kupambana lakini usijihakikishie ushashinda
Jifanganye,hao Valencia nadhan hata hukuwaangaliaArsenal is a wonderkid. Washika mtutu sasa ni washiuka manati wasiotabirika. Waombee tu Valencia waweke gameplan isiyowork otherwise Arsenal ni timu ya kushanga dunia siku zote
Haya mtabiri hewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We jamaa unajua inabidi tukuweke meza ya vituko vya JF. Yan unafurahisha na kutia huruma kwa pamoja.
Unaona sasa unavyoongea pumba,Be persemistic itakusaidia kupunguza pressure isiyo na lazima kama leceister anaweza kukufunga 3-0 unawezaje ku question integrity ya Valencia kukufunga 2-0 maneno kama haya yanasababisha watu kukuandama bila sababu matokeo yakiwa negative, hakuna Team ambayo inasema itafungwa lakini kuweka akiba kunamsaidia mshabiki this is football.
Unaongea kana kwamba timu yako huijui,Mimi kukaza lazima. Akisema aje kwangu atafute draw ya 0-0 si nakua nimetoka. Lazima nikaze asipate goli na mimi lazima nitafute goli za kutosha. Mkuu mbona unaogopa sana. Mtu anatoa maoni kulingana na kile anachofikiria yeye. Aya basi ngoja tuseme mshindwe nyie kuchukua ubingwa wa EL.
Ndio tatizo la kujulia mpira kupitia kubetiArsenal is a wonderkid. Washika mtutu sasa ni washiuka manati wasiotabirika. Waombee tu Valencia waweke gameplan isiyowork otherwise Arsenal ni timu ya kushanga dunia siku zote
Muongo muongo tu.Na akipotea akija mara nilikuwa field mara nilikuwa nasubmit report
Wewe jamaa una kaz ya kunifatiliaNa akipotea akija mara nilikuwa field mara nilikuwa nasubmit report
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Good bye 2018/19
Welcome 2019/20
Congratulation Man City kwa EPL
Congratulation Barca/Ajax kwa UCL
Congratulation Arsenal kwa UEROPA LEAGUE
Ashinde kwanza ,EPL, haieleweki ,sasa hiv hata man u ana uhakika na top 3Chelsea nafasi ya tatu mnaiachaje?
Ila tott bhana