Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.Unahamia Chelsea unataka uwatie wenzako gundu tu,
BAADA ya kuitia gundu Liverpool kwenye EPL na UCL, unaikimbia ,
Wakukaribishe tu ila wajue utwatia gundu
Kwan wanavyokula zile 2-0 emirates, FA cup,community shield ,hakuwepo?Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.
Labda na Mimi zisianze double straikers na lt11Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.
Mimi kusema naisapoti Chelsea ichukue Europa nimekuwa mamluki............Wewe uliyeshabikia Barcelona jana tukuite vipi sio mamluki Tatizo ni moja nimekugusa sehemu ambayo kuna maslahi ambayo wewe unahitaji lazima ucharuke hahahahahahahahahKwan wanavyokula zile 2-0 emirates, FA cup,community shield ,hakuwepo?
Acha kupiga ramli, mm nakuangaliaga lakin najua mwisho utawakimbia wana Liverpool ,nilishawahi kukwambia wewe ni mamluki , unabisha, Leo baada ya kuona ukame unaendelea unawakimbia wenzako ,acha hizo ,shabik wakweli haami timu
Aliyekwambia niliishabika barca nan?Mimi kusema naisapoti Chelsea ichukue Europa nimekuwa mamluki............Wewe uliyeshabikia Barcelona jana tukuite vipi sio mamluki Tatizo ni moja nimekugusa sehemu ambayo kuna maslahi ambayo wewe unahitaji lazima ucharuke hahahahahahahahah
Jumanne naenda Final na hauta amini nakwambia.Aliyekwambia niliishabika barca nan?
Na wapi nilisema naishabikia barca?
Mm ni fan WA messi,, na nilikuonya uache kupiga ramli ,ukaona mm nakudanganya,
Haya kwakuwa umekuwa mpiga ramli,
Nipe matokeo ya an field jumanne, maana ya Chelsea hadi final unayo
Hahaaaaa unapindua meza labda ya nyanyaJumanne naenda Final na hauta amini nakwambia.
Goli 3 kwa uwanja ANFIELD zinapatikana ndani ya Dakika 54 tu za First halfHahaaaaa unapindua meza labda ya nyanya
Nadhan bado humuheshimu messi
Msipokaa vzr mnapigwa tena hapo hapo
Labda messi augue dengue kabla ya jumanneGoli 3 kwa uwanja ANFIELD zinapatikana ndani ya Dakika 54 tu za First half
Kwa akili zake anajua gemu ya valencia kaimaliza muda utasema Tumwangalie tu anavyojipa kombe wakati ana wachezaji wawili tu wanaojua kombe ni niniHivi huyu Aron ni mshabiki kweli wa Arsenal au ni katumwa?
Wenzake wanaomboleza bado vipigo vitatu vitakatifu mfululizo yeye bado ana guts za kuja kifua mbele kutamba na katimu kalikojifia
Unapaswa kuelewa mfumo wa mwalimu kama huujui ujifunze uuelewe. Joginho ni register, siyo defensive midfielder wala attacking midfield.Sarri with his son jognho belive in pass witout attacking
Middle huna assist kila game unapotea unawapa kaz mabeki maana tackle na block ni chache kuliko za kante na cheek walioko mbele
Basi memaliza weweKwa akili zake anajua gemu ya valencia kaimaliza muda utasema Tumwangalie tu anavyojipa kombe wakati ana wachezaji wawili tu wanaojua kombe ni nini
Kama kuomboleza inabid muomboleze nyie maana mlipigwa 4-0 then6-0Hivi huyu Aron ni mshabiki kweli wa Arsenal au ni katumwa?
Wenzake wanaomboleza bado vipigo vitatu vitakatifu mfululizo yeye bado ana guts za kuja kifua mbele kutamba na katimu kalikojifia
sitaki kuelewa maana wachambuzi wa sky bt na tv nyingine wanadai kitu amabacho nami naamini komaa na mahaba yakoUnapaswa kuelewa mfumo wa mwalimu kama huujui ujifunze uuelewe. Joginho ni register, siyo defensive midfielder wala attacking midfield.
Huu uchafu peleka kule jukwaa la Arsenal hapa sio mahala pakeLabda na Mimi zisianze double straikers na lt11
Lacazette & Aubameyang now have a combined 60 goals & assists this season.
Aubameyang 25 goals & 7 assists
Lacazette 18 goals & 10 assists.
#ArsenalView attachment 1086578
Acha kupanikiHuu uchafu peleka kule jukwaa la Arsenal hapa sio mahala pake
Basi poa mkuu tukutane finally basiToka Lin kwao hatari, je watamzuia Arsenal asipate goli ?
Maana kipind cha pili wameomba mpira uishe,halafu Valencia anacheza mpira lain sana
Mgumu ni Napoli na Frankfurt ,kama huna energy huponi,
Unataja Valencia, wanacheza Spanish football,walain sana
Kama kuomboleza inabid muomboleze nyie maana mlipigwa 4-0 then6-0
Tunazungumzia mech ya Jana ambayo tumeshinda 3-1
Kwa akil yako unadhan Valencia atamzuia Arsenal asiingie kamban?
Mimi kukaza lazima. Akisema aje kwangu atafute draw ya 0-0 si nakua nimetoka. Lazima nikaze asipate goli na mimi lazima nitafute goli za kutosha.Kukaza lazima,hata wewe ukaze, maana nadhan umeona mziki wa Frankfurt, wanauwezo kabisa wakupata goli kwako
Mkuu mbona unaogopa sana. Mtu anatoa maoni kulingana na kile anachofikiria yeye. Aya basi ngoja tuseme mshindwe nyie kuchukua ubingwa wa EL.BAADA ya kuona matumain ya kubeba taji lolote yameyeyuka umehamia Chelsea na unawadanganya kabisa
Inaonekana hata Frankfurt hujawaona,
Hiyo game bado ni 50/50