Ulaya hayo mambo hayapo bro. Kule sio Simba na Yanga. Watu wanaangalia impact ya ku qualify kwenda Ulaya wao kama team na sio kombe kwenda Liverpool.
Mashabiki ndio wanaona hivyo lakini uongozi wa club na wachezaji view point yao ni tofauti bro.
There's so much at stake.
1. Reputation ya club (as one of the elite clubs in Europe)
2. Financial impact (the amount of money the club will lose if you don't go to Europe).
3. OGS job is also at stake.
4. So much is at stake.
Tusubiri tuone kama kesho mkishinda mtamind au la [emoji16][emoji16]
Mkiikosa UEFA mwakani mjiandae kukwepwa na wachezaji wakati wa dirisha la usajili na pia mapato yanashuka kwenu kwa zaidi ya pauni milioni mia( GBP 100+ million loss)
Arsenal ina Kocha Mtaalamu, wachezaji ni 0 IQ, Chelsea ina Wachezaji lkn haina kocha daaah[emoji30][emoji47]Wewe mshabik WA cheltako ,nan kwakwambia nilipotea, muulize ndugu yako ollachuga ,
Mimi sipoteagi,
Leo nipo hapa hadi asubuhi ,
Nawaeleza nafas ya 5 ni yenu ,mkibisha subirini may,
Europa emery kashasema kamaliza kazi, haiqezekan final tucheze na cheltako ,halafu kipa kepa, tushindwe kubeba ni aibu
Tatizo liver wanataka huruma ya united ktk kubeba ubingwa,Ndio nakwambia hivi mkuu, hatuna timu ya kupambana na City. Hata tukaze vipi lazima tutafungwa tu.
Ushindi Jumatano utaniumiza sana. Nataka City apate point tatu ila asitudhalilishe. Mambo ya kutupiga kama alivyomfanya Chelsea sio mazuri.
Hahaha jamaa ana moyo mwepesi sana@Ollachuga Oc kashajipiga ban maana aliaaminisha watu Leo wanaondoka na point 3, akasahau golin ana pazia ,
Wachezaji WA arsenal wapuuzi wanajulikana na msimu ujao anawaondosha, kama Jana wameuza mechi ,Arsenal ina Kocha Mtaalamu, wachezaji ni 0 IQ, Chelsea ina Wachezaji lkn haina kocha daaah[emoji30][emoji47]
Lakin wenzake wakifungwa ,anakujaga kwa mbwembwe ,yeye sare tu, hutamuona hapa hadi jumatanoHahaha jamaa ana moyo mwepesi sana
Tatizo liver wanataka huruma ya united ktk kubeba ubingwa,
Mimi naomba man city ashinde 1-0 ,
Kuna baadhi ya wana liver humu jamvin wameanza mdomo
Utamkuta jukwaa la mapishi au MMU, huku anapaona kama kituo cha polisHahaha jamaa ana moyo mwepesi sana
Poleni sana kwa kichapo cha jana Chifu.Wachezaji WA arsenal wapuuzi wanajulikana na msimu ujao anawaondosha, kama Jana wameuza mechi ,
Na Mimi ndio ninachotaka, humu city wapo watatu, wewe watu wameanza kunusa harufu ya ubingwa tayari vurugu zishakuwa nyingi, hata kule uingereza hawafurahii kabisa hiki kitu,Watatusumbua sana hawa. Bora hao City humu wana mashabiki watatu pekee.
Msimu ujao tunasajiri, maana tuna first eleven ila hakuna backup,Chelsea ikiingia top 4 ni sawa na imebeba ubingwa wa EPL, Arse8 komaeni maana hata kama Chelsea itaingia top 4 lkn hakuna consistency yoyote kwa wachezaji wake sawa na Man City au Liverpool.
Nakumbuka Pogba alikuja tukiwa hatuchezi UEFA. Muhimu hiyo jumatano ni kufungwa tu.😂😂 mambo ya hasara watajua wenyewe.
Tunaenda kushinda jtano , then tunasubir matokeo yako na manyumbu,Poleni sana kwa kichapo cha jana Chifu.
Raha ya ndoto tena za mchanaWewe Leo ulijitapa unaongeza point 3, matokeo yake umeongeza moja,
Jtano wolves anakufa,,
Mech yako naanyumbu mnasuruhu, Arsenal anashinda unaachwa point 5 clear,zinabaki mech 2 ligi iishe akili itakukaa sawa,
Hapo arsenal atakuwa anahitaji point 2 tu, usimfikie