Lakini clixus tulikuwa kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Slavia nadhani, sio LiverpoolMkuu umesema kweli na kama sio Pedro angechezesha pemben hazard na willian na kat forward higuain au giroud koz ni warefu wangeweza msumbua zaidi beki kisiki wao wa kati Liverpool VVD.
Lakini clixus tulikuwa kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Slavia nadhani, sio Liverpool
Hii ya Liverpool it was a nightmare. Chelsea bado inahitaji kocha mpya anayeweza kushirikiana na management kuiunda upya Chelsea na kuwaondoa matakata wasiostahili paleNusu ya wachezaji wanatakiwa wabadilishwe. Hapo ndipo tutakuwa na uwezo wa kushindana comfortably bila woga na top 6 including wale mbwa mwituAaaah ok saw nilidhan ya Liverpool ilyoniuma sana
Mkuu jamaa yupo uzi wa Barca now anatamba huko hahahah
Nimemwona huko ,huku sijui atarudi link,kahamia barca sasa hiviMkuu jamaa yupo uzi wa Barca now anatamba huko hahahah
13SEPTEMBER
Ombeni sana timu isije ikauzwa kwa watu kama Glazzers ,mtajuta , mtajuta aise.Chelsea for sale
Three bidders from US, Asia and UK are targeting to buy the club from Russian billionaire. Roman Abramovich acquired Chelsea in 2003 for £140 million from Ken Bates, who had in 1982 purchased it for a paltry sum of £1 (and thereby made a £17 million profit). The current price tag stand at 2.5bn Sterling Pound. This amount is equal to TZS. 7.5 trillion
Karibuni wawekezaji, ila msije mkaigeuza kuwa kama Sunderland
asante sana Barca asante sana Messi. Kidogo nimepunguza machungu ya kupigwa na Liverpool, sasa tuwepe awa vijana wa Klopp tuwafundishe mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
mchawi wetu ni kocha kushindwa kupanga kikosi bora katika game muhimu yaani anabatishaRead first wapi nimemdisqualify Willian. Kwa taarifa yako mimi ni admirer mkubwa wa Willian hata siku akiwa kwenye bad form siwezi kumsema vibaya. Willian kwangu ni one of Chelsea legend. kama umefuatilia mada yangu tangu mwanzo nilikuwa nazungumzia kiwango cha Pedro nau kama ile nafasi ya Pedro angecheza Odoi kungechangamka!!!!!!!!!!!!!
Ndo mlimnunu paundi ngapi vile? ??Huyu kepa tumepigwa
Ikinyooshwa tu imooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kepa tumepigwa
Ikinyooshwa tu imooo
We're Chelsea ..no matter what..Daaah matokeo yasije kupinduliwa tu
Chelsea vs slavia prague 4-3
Chelsea ni timu kubwa Sana London na pengine england nzima ..kwa shida shida tutaiñgia fainal na kubebà kabisa maana hatua mpinzani mpka sasa..Hawa Chelsea wanajielewa kweli?Ndo nini kuruhusu magoal hayo yote pale darajani?.Mashabiki wa Chelsea kazi mnayo.
We mtu upo?, daaah kuna kipindi uliadimika sana mkuu. Ila hongera kwa ushindi japo kwa mbinde.We're Chelsea ..no matter what..
Tukipewa nyie uyo Leno tutahakikisha tunamtoboa sio chini ya goli tatu...Huyu kepa tumepigwa
Ikinyooshwa tu imooo
Niko bizye kihakikisha Barca tunabeba Uefa na Chelsea ikinyanyua Europa ..We mtu upo?, daaah kuna kipindi uliadimika sana mkuu. Ila hongera kwa ushindi japo kwa mbinde.