GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,839
- 18,519
Nyie msimu ulivyoanza si ndio mlikua mnaongoza kwa kelele humu jukwaani, hizo kelele ziliishia wapi vile?Sisi hatuna kelele nyingi kama nyie. Kila Siku mna fanya uchambuzi, mnapanga kikosi na kupangua ..gemu zote kwa kuongea huwa munashinda. Lakini matokeo huwa tunabaki nayo sisi.
Tatizo la fans wa manure ni much know sana. Halafu waongeaji kweli kweli.
Sasa huku unakutana na fan wenye respect zao hatuna stats za kikumbavu kama za kwenu au za aasanal...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukufunga ni wajibu wangu mkuu.. ilo wala usitie shaka..Unabwabwaja utadhani msimu huu kuna mechi umenifunga mkuu.[emoji38][emoji38]
Takwimu zilionyesha tulifanya vizuri..Nyie msimu ulivyoanza si ndio mlikua mnaongoza kwa kelele humu jukwaani, hizo kelele ziliishia wapi vile?
Au mnataka tufukue makaburi?
Sent using simu mbovu
Hahahaha yuko Namba tano uko sijui sita ngoja tumtafute.. Aaron unaitwa uku uje upayuke zako banaa ..unaruhusiwa sasa hahahahahaha (jokes mkuu Aaron)Kuna lile vuvuzela linaitwa aroon lije hapa limwage upupu wake
Nmekuambia kukufunga ni wajibu ..hivyo tukikutana ni lazima nikukalishe tu ..Dishi limeyumba nini mkuu? Msimu huu kuna game yoyote umenifunga?
Nmekuambia kukufunga ni wajibu ..hivyo tukikutana ni lazima nikukalishe tu ..
Hivi EPL manure Mara ya mwisho kushinda ni lini tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
huwez muona hapaMpo nafas ya 3 saiv
[/QUOT
ndio tumeshai occupy hadi ligi inaishaMpo nafas ya 3 saiv
Nimehifadhi hii comment yako.ndio tumeshai occupy hadi ligi inaisha
Hazard haondoki, ni afadhali aondoke bure 2020 wakati ban imeshaisha, Chelsea hawatamruhusu na Hazarda yuko loyal na clabu kashasema haondoki kwa kuforceMnatuma tu link za hazard kusepa ..tumeni na za Sarri kutimuliwa bana..
Japo bila Hazard tunaeza leta ushindani wa kutosha kwenye ligi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hana jipya analoweza. Kama kuwanga tayari, ramli kapiga, swala zote kafanya lakini anaishia kuangukia pua.Kuna lile vuvuzela linaitwa aroon lije hapa limwage upupu wake
Hatujamalizana mkuu. TuliaUnabwabwaja utadhani msimu huu kuna mechi umenifunga mkuu.[emoji38][emoji38]
Sema Hazard drop tu hapa katikati kama angeendelea na moto ule ule alioanza nao msimu angekua ana goli nyingiHizi takwimu zinaonyesha kuwa Hazard ni mshambuliaji anayeongoza kwa ubora EPL
Short on target accuracy 75% ni Rahim Sterling pekee ndie anamatch hi rekodi
Goals (16) scored plus assists (12) = 28, Aguero anayefuatia ana 26 19 goals plus 7 assists
Big chances created 15, Ryan Fraser wa AFC Bournemouth pekee kamzidi kwa chances 22
Hizi ni salam tosha kwa loserfool, tunaenda kuwanyoa ili hawa manure na asernane waendelee kukaa position walizozizoea