OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Kwani Cardiff ni timu kubwa.?Wakati MUFC inawapiga tano mlisema Cardiff timu ndogo, leo naona chupuchupu.
Kwa kikosi hichi hichi za kuunga unga tutafika fainali uefa msimu ujao..
Hii ndio Chelsea iliyofungiwa kusajili? Msimu ujao kazi mnayo.
Na Hazard akiondoka ndio mmekwisha.
Wakati uo spurs atakuwa anaongoza mbili ..Haha
Nikimalizana na spurs ntarudi
Shuwainiiii cheltakooo
13SEPTEMBER
noma yangu imeisha tunaamishia kambi ukoOLLACHUGA
OLLACHUGA
OLLACHUGA
Kwa kikosi hichi hichi za kuunga unga tutafika fainali uefa msimu ujao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Cardiff kuna uyo Spurs ..ndo muhuni atarii..hahahawahuni sio watu wazuri mpaka CARDIFF
Wenyeji tumechili tunawaskilizia wageni mnavyokuja bila mwaliko wowote ..
Kepa unamfananisha na kipa gani wa arsenal.? Leno akija Chelsea atapelekwa kikosi B uko..Kipa kepa .... Hahaaa
Mkishambulia kwa nidhamu lazima mpate magoli kwa huyu kepa,
Yaan ukikutana na Chelsea wewe shambulia kwa nidhamu ,lazima utumbukize mpira nyavuni
Paun mill 71
Hahaaa ,huyu kepa tumepigwa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahaha Nu Casto anaku zoom..Cardiff tukazeni tupate point tatu , tusishuke daraja
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kipindi nifahamu ass anal sijawahi kuona ikibeba kombe linaitwa Uefa, EPL Mara ya mwisho mnabeba ulikuwa ujazaliwa dgo ..ass anal ni level za Cardiff city, Bolton, Leeds ...Sisi huwa tunashuka na kupanda na tukipanda lazima tuondoke na EPL...Hahaaaaa nilishasema Chelsea inarud ilipotoka
Chelsea ni level ya kina Fulham
Wakati nakua nilikuwa naiona Chelsea ikijitahid inashika nafas ya 5 au ya 6
Baada ya kuja mrusi ikanyanyuka. Sasa inarudi ilipotoka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
wewe nafasi yako ya sita tutakukabidhi mwisho wa msimuNdio maana hata hapa huwezi kuwaona mashabiki wa Chelsea wakishangilia.
Watoto wamenyimwa tuta la wazi halafu bado haikutosha wakafungwa goli la kuotea.
Hii timu msimu ujao itamaliza nafasi ya 10 kama ikijitahidi sana.
Aibu yako wewe.Cardiff tukazeni tupate point tatu , tusishuke daraja
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba