Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Hahahahahahahahah.............ukimaliza kuwakaanga uwaunge chukuchuku usieeke nyanya,kitunguu wala mafutaMshapigwa kimoja,ila mm Leo nimewaombea sare
Kwa Chelsea hii tiamajitiamaji nawaomba fainal ya ueropa, aisee nitawakaranga bila mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Waonee huruma , wamalize mechi, watapanic bure.Mshapigwa kimoja,ila mm Leo nimewaombea sare
Kwa Chelsea hii tiamajitiamaji nawaomba fainal ya ueropa, aisee nitawakaranga bila mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kupigwa kunataka kuwapenda zaid,
Ukifungwa ndio unayajua
Dah Chelsea inarud kama.kipind kile kabla ya 2004,Waonee huruma , wamalize mechi, watapanic bure.
Sent using simu mbovu
Itafika kipind watakubal Chelsea inarud ile ya kabla ya 2004,Ukifungwa ndio unayajua
Hatowaangusha kweli