The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Karibu tuangalie burudani leo, Chelsea sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu tena
Timu ambayo inaweza maintain matokeo na labda wakabadilishana nafasi ni Man U na Chelsea, Spurs na Arsena bado ni walewale
CHO kuimprove ina maana apate game time ya kutosha, aaminiwe, yan kocha anatakiwa amfanye dogo ajisikie ni wa muhimu kwa sasa na kwa baadaye. Hiyo itampa motivation dogo akaze zaidi kuisadia timu.Kocha yuko sahihi. Bado Odoi hajafika top. He needs to improve hata yeye hilo analikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sikujui ww ni nanWew ulipotelea wapi?..tunakusubiri kule nyumbani kwenu
Hahaha..ww shabik wa aseno umekimbia kule jukwaa lenu.sisi man u tunawasubiri kule mkuu