Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Sasa kuna timu tano zinagombania nafasi mbili. Nafasi ya tatu na nne ziko wazi. Sio tu kuwa juu ya Arsenal , Hata Spurs
Chelsea ina game mbili au jumla ya game 11, tuna uhakika wa point sio chini ya 25 na kumaliza ligi na point 78, hao wote labda Man United ndio wanaweza fikia hapo kwa sababu ya morali yao walionayo sasa
Msimamo makini utakuwa hivi:
- Liverpool
- Man city
- Chelsea
- Man United
- Arsenal
- Spurs
wee umaejuaje ni Liverpool na sio Mancity?Wa 1 & 2 wanaogombania Wameshajuilikana ni Man City na Liverpool tu na so vyenginevyo.
Sema kuna timu 4 (Man United, Arsenal, Spurs na Chelsea) ndiyo zinazogomabi nafasi ya (3 & 4).
Hayo ya timu 5 nadhani ni Jealous tu ndiyo zinakufanya umueke Liverpool sawa na Chelsea aliye nafasi ya 6 kuwa wanagombania nafasi pamoja.
Wenye consistency pekee ni Man U, Arsenal no, wakianza kufungwa na vitimu vidogo ndio utajua haya maneno yanguAcha utani wewe!! Umalize juu ya Arsenal na Man United?
Spurs sawa umepatia kwani hana Consistency, lakini kwa Arsenal na Man United kuwaweka hapo umekosea sana.
Hivi bado unaamini utamaliza juu ya Arsenal na Man United?
Nimerekebisha msimamo wa ligi baada ya 12 May 2019. Huu utabiri umebase kwenye points timu ian uwezo wa kupata against the remaining matches
Timu hizi nafasi zao zitaamuliwa na GD
Mancity kuchukua ubingwa tena kwa sababu ya GD against Liverpool
Spurs watazidiwa na Man United kwa GD
View attachment 1036890
Kama vile namjua Anaezungumziwa hapa mkuu ila ngoja nikeep silencLeo kuna kipofu kaona jua hapa
Kama vile namjua Anaezungumziwa hapa mkuu ila ngoja nikeep silenc
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshakuwa mpiga ramli maana man city sasa anakuchanganya akili..Mwisho wa Msimu Msimamo utakuwa hivi:
1) Liverpool/Man City
2) Man city/Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Kiongozi nafasi yako ya 6 hili halina ubishi..
Hata Ollachuga Oc anajua kuwa atamaliza nafasi ya 6.
Goli kali sana ..mtoto wa Sarri leo qatisha sana..What a goal from Jorginho
Hatushindi kwa msaada wa refa wewe..Leo kuna kipofu kaona jua hapa