Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna huyu mngine anajiita eden kimario sijui yuko wapi
 
I'm so happy kwa ushindi wa 6-o.....

Thanks Aguero kwa hatrick, mpaka sasa ana 11 hattrick....Best striker in the UK
 

Salamu kutoka OT.
Tunapenda kuwataarifu kwamba,hata ikitokea bahati mbaya MUFC ikafungwa basi hiyo haitafuta ukweli kwamba mlibomolewabomolewa na kubugizwa goli sita kwa yai.


Asanteni.​
 
Sarri ameshaweka historia ya Stamford Bridge kwa Upande wa makocha
Hata kama kocha anatakiwa kupewa muda wa kuingiza mfumo wake kwa wachezaji lakini asipewe muda wa dozi 4, 6, 8, 10, 12 ….HII HAIKUBALIKI
Kwani timu ngapi zina makocha wapya



Ukiondoa Huddersfield Town sidhani kama kuna kocha kati ya hao wapya wanafungwa kijinga hivi na bado kuna mafundi wa mpiura wanasema apewe muda. Mapaka afe fan mmoja ndio afukuzwe.
Pep alikaa mwaka mzima lakini mwaka wake wa kwanza Man City ilimaliza ya nne
Conte kaichukua Chelse pabaya mwaka wake wa kwanza kombe, ndivyo tulivyozoea
 

Attachments

  • 1549956608431.png
    11.1 KB · Views: 28
  • 1549957039799.png
    1.5 KB · Views: 29
Sarri amuachie Zola timu aje na Drogba wasaidiane mbona top four tutaiona
 
Hao wamejiandaa kufufuka kama MUFC ikipoteza leo, utamuona hata Ollachuga Oc akipiga chafya,mbali na hapo hutowaona humu.​
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bwana alipigwa na kitu kizito mno katika kichwa chake na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Agüero.

Matokeo ya leo ya MUFC yanaweza kumpa ahueni au kummaliza kabisa.​
 
Huyu jamaa yangu hakawiagi kujiteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…