Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bila sababu yoyote match ya leo ni jukumu letu kushinda for our own advantage. Manure kuongea tushawazoea, tena kuna wengine walikimbia mpaka jukwaa lao wenyewe sasa ivi ndio wapiga dufu kule na huku.
Tuko pamoja leo, ninatamani sana mkaze ili Man Utd arudi nafasi yake ya 5. Wanaongea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila sababu yoyote match ya leo ni jukumu letu kushinda for our own advantage. Manure kuongea tushawazoea, tena kuna wengine walikimbia mpaka jukwaa lao wenyewe sasa ivi ndio wapiga dufu kule na huku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa mkuu, of course game ya leo itakuwa ni 50 - 50, ila kwa mlichofanya first round, nina kila sababu ya kuwaamini.
 
Mkuu > Ollachuga
> Eden Kimario
> Southern Highland
> Jasho La Kuku
Leo tumewapa dhamana ya kumfunga Paka kengele ......... Kila kheri
 
Kepa Arrizabalaga's debut season in the Premier League.

87% Pass success rate (superb for a goal keeper).

Has a very involved average of 29 passes per game.

Executes over 5 long balls successfully per game.

Great shot stopper / reflexes and 2nd in the league for clean sheets.
 
Leo wote hawatutatumia false no 9. Kwa hyo mabeki wetu wawe vizur katika kukaba. Maana man city wanatanua uwanja kwa wingers zao (Sterling na Bernardo Silva) kukaa pembeni kabsa ili Full backs wawafuate waache nafasi kwa ajili ya midfielder wake (David Silva na De Bruyne) kupita kirahisi.

Approach ile ile itumike. Kante na Kovacic kuwasaidia mabeki kwa kuwafuata midfielder wa man city wacpewe mpira ndani ya box.

Tutawakamata nina uhakika.
 
Kwani uliona lini Chelsea ya Sarri ikipaki Bus

Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri kashasema leo nafikiri kuwa Man city wakiwazidi Chelsea kumiliki mpira watapaki mabasi. Ktk mpira wa miguu huwezi kukwepa kupaki basi kama ukizidiwa
Na sababu Sari kasema Pep yuko na timu kwa miaka mitatu yeye hata mwaka haujaisha. Kwa hiyo wachezaji wa Man city wameiva kwenye mfumo wa Pep tofauti na Chelsea kwenye mfumo wa Sarri. Na mimi naona ana logic hapo
 


Wewe unaota tu lakini si bure! Aondoke Hazard muwe bora?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…