OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Tupe na leo.Uncle Gonzalo Higuain 65 minutes against ORDINARY BOURNEMOUTH [emoji125]
0 shot on target [emoji818]
0 dribbles [emoji818]
0 key Passes [emoji818]
20 bottles water sucked [emoji818] [emoji28]
100 misplaced passes [emoji818]
200 sneezing[emoji818] [emoji23]
Perfect replacement for ALVARO MORATA [emoji24]
Keep The Blues Flag Fly High.Poleni wanna Chelsea wenzangu. Katika siku niliyoumia ni Leo. Niliumia Jana baada ya matokeo. Nakupelekea Leo siku yangu kuwa mbaya sana kidogo nitoroke kazini. Lakini kwa sababu Mimi Ni mwanaume nikajipa moyo konde.
Lakini ndiyo matokeo hatuna namna inabidi tuyapokee ivo ivo. But naamini next game vijana watapamban na kurejesha heahima Stanford bridge.
Viva Chelsea. Chelsea 4reva
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam mkubwa mwenzangu.
Hapana anahitaji kupewa nafasi zaidi.Chelsea hatuna uvumilivu kama wa Liverpool na Arsenal na usitufananishe aisee. Tumezoea makombe ndio utamaduni wetu na huyu mzee lazima tu atimuliwe. Tunahitaji kocha wa kuifanya timu ishinde period