Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Ni kufukua makaburi tu.Cheltako bhana, sasa arsenal hii nan kwakwambia imekamilika, arsenal.hii ambayo haijafanya usajir wa kueleweka,
Sema wewe timu yako ovyoo...na hapo umesajir umejaza mizigo kwenye bench,
Usiposajir ww tunakukuta mtaa wa 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize kakufanya nini. Njoo ufukie kaburi nimefukua.TUNAWAKUMBUSHA TU, NEXT WEEK NI CHELSII vs ARSENANE
[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaWanateseka sana maana walijua Higuain ndio mkombozi kumbe wamepigwa changa la macho sio Higuain ni Morata kafanyiwa make up kafanana na Higuain
The Law of Diminishing Returns apply...unless they find an equivalent of Claudio[emoji38]Toka Ranieri ameondoka, hii timu haijawahi kuwa ya attacking football.
Ungesema kutoka defending football mpaka kukimbia kimbia.