Hivi nyie hamna academy? Hamuoni lingard na rashford wanasumbua kwetu japo lingard sio mbunifu na simuamini ila anakimbia sana kuwapa shida viungo na mabek timu pinzani?Hahahaha Morata kurudi kwenye kuimarika labda asepe apo Darajani.
Refer kwa Salah, alipokuwa Chelsea alipoteana kabisa ..lakini baada ya kuondoka na kurudi amekuwa bora zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo gan toka aje chelsea hana loloteMorata sio kiazi wewe ..acha ushamba.
Hivi ukimtoa Auba kuna mwingine apo arsenal anaweza mweka nje Morata?
Ni upepo tu unamwendea vibaya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa hawaamin acardemy, wananiudh hapo tuHivi nyie hamna academy? Hamuoni lingard na rashford wanasumbua kwetu japo lingard sio mbunifu na simuamini ila anakimbia sana kuwapa shida viungo na mabek timu pinzani?
Kazi kuhangaika sokoni tu lukaku anaangalia jukwaani mtoto tuliemkuza anafunga tu nyie vipi? Kenedy na chiloba nao hamuwamini mmeuza yule dogo kwenda lyon alikuwa anakuja vizur kule ajax
Sasa mkuu ukiangaika na hawa wa academy kuja kubeba makombe usahau ..angalia man united same struggle kiasi gani na Martial, lingard, rashiford, mpaka sasa wanaonesha uhai.Ni upuuz wenu, mna batshuay ,tam abraham,
Mnaenda kuhangaika na kina higuan kitambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni kwa cleenshit ..jana ni kama hamkuamini kama mungeshinda.Chelsea mnajua kuspend, mkiamua icard kesho atue hapo darajan anatua,
Halafu hamtak kuwaamin mastraika wenu mliowakopesha, morata na giroud stail yao ni moja
Higuain kwasasa epl haiwez, kwanza anakitambi kama JB, pia ameshapoteza ule uwezo wake wa kutupia
Tatizo jingine sari anakomaa na jorginho kwenye namba 6 ,siku atakapofukuzwa, kocha ajaye cha kwanza, atamrudisha kante 6 ,ataleta forwad ,bas timu itatembea
Wengi mnambeza hazard kwa game hiz, hazard akicheza force 9 hana makali yoyote,
Bek zinacheza kwa uhuru,
Jana tumepata cleenshit ya kibabe ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanauza vijana yanakimbilia kununua ma fat joeHawa hawaamin acardemy, wananiudh hapo tu
Wana wachezaji wazur sana wadogo, wana kipa wa acardemy, alidaka vzr game ya pre season ya arsenal, wamemficha wapi sijui, wana odoi , wana kennedy sijui washamuuza, wana ruben loftus cheek, wana tam abraham
Lkn hawaamini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa Liverpool wameongezeka baada ya Liverpool kufanya vizuri. Kabla ya hapo walikuwa wachache sanaHahaaa liver mambo yakiendaga mlama wanamuachia grupu malafyale
Halafu wengine wanakuwa wanajitokeza kumtukana handerson
Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford katupa europa league tena goli zake zimetuvusha hatua za mtoano had final alisaidiana na mik zlatan aliumiaSasa mkuu ukiangaika na hawa wa academy kuja kubeba makombe usahau ..angalia man united same struggle kiasi gani na Martial, lingard, rashiford, mpaka sasa wanaonesha uhai.
Tatizo la Chelsea ni usajili wanaofanya hauna impact kwa future ya badae. Timu inachotaka ni makombe tu ..ukitumia madogo utaishia kucheza uropa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Haya meneno yamekuja baada ya kushinda.Mm nilitegemea mapema tu kuwa tunawanyoa
Toka game ya darajan niliwaona hamna kitu kabisa nyieView attachment 1000054
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiambiwa Chelsea sio timu ya kudevelop young player hawakubaliYanauza vijana yanakimbilia kununua ma fat joe
Hapana mkuu, mm ndan ya moyo wangu kabisa niliona tunawanyoa
Huku mkuu hamnaga hayo saiv wanahangaika striker kama hawana academy vile kuna under 23--19 na 18 utakosa watu huko?Wakiambiwa Chelsea sio timu ya kudevelop young player hawakubali
Hhahaa kwakweli Genge lilikuwa dogo, nakumbuka alikuwepogo King ngwaba na Malafyale sana sanaMashabiki wa Liverpool wameongezeka baada ya Liverpool kufanya vizuri. Kabla ya hapo walikuwa wachache sana
Genge halikuwa kubwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ukiwatumia madogo, unafukuzwa kabla ya krismassWakiambiwa Chelsea sio timu ya kudevelop young player hawakubali
Wana dogo anaitwa tam abraham hawatak hata kumtest ,wanamkopesha tuHuku mkuu hamnaga hayo saiv wanahangaika striker kama hawana academy vile kuna under 23--19 na 18 utakosa watu huko?
Ukidevelop young players utegemee kukaa miaka minne/mitano bila kombe lolote.Wakiambiwa Chelsea sio timu ya kudevelop young player hawakubali
Man united ashinde lakini abaki hapo hapo. Tottenham sio wa kumuwaza.!Hapana mkuu, mm ndan ya moyo wangu kabisa niliona tunawanyoa
Hiz derby huwa tunajituma sana hasa tukiwa home, siuliona jana tulivyokuwa tunawakabia juu the same na mech ya tot
Kipind cha pil nilijua mtacheza sana, lkn ilishakuwa too late nimeshapata nilichokihitaji
Cha msing sasa tumuombee mabaya tot na man u,
Sion tot akihimili bila kane na son, ataacha point na kumtoa hapo juu, plus ana mech za UCL
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maeneo yanahitaji wachezaj wazoefu hasa humo ulimotaja kumbuka sisi tumechukua ubingwa na tom cleverly danny welbeck na wakina fabio na rafael hawa tumewakuza sasa kama chelsea maeneo nyeti kuna watu wa shoka unashindwaje kupandisha madogo namba 11-10 na 7 au 9?Ukidevelop young players utegemee kukaa miaka minne/mitano bila kombe lolote.
Nini mbona mna Salah, VVD, Keita, Fabinyo..
Msingenunua mungedevelop hao youths wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app