interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Nilishavaa mapema sana viatu vya Sari kuwa si Kocha kwa EPL na anastahili kabisa kufukuzwa kazi, maana inakuwaje kila siku ni mtu wa kuisifia timu bila matokeo kwa "ball position" pekee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio upuuzi. Give credits to Arsenal, they wanted it more yesterday!Bila kulazimishwa tumemkabidhi Man Utd top four kila kitu kwenye team kiko below average ikifikia team inafungwa na arsenal basi ni team ya kawaida, haikuwa fair kumfunga City na kumkwamisha title race bila sababu yoyote ,all in all blue is the colour
Bado unayahitaji kipenchi"?nimekuwa surprised kukuona hapa, by the way nipe matokeo darling......!!!
Dam dam mwenza... japo daaah🤕🤕Mwenza nawe ni the blues?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dam dam mwenza... japo daaah[emoji856][emoji856]
Unanchekaaa😢😢😢[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mwenza[emoji85][emoji85]
Sasa je [emoji1732][emoji1732][emoji1732]Unanchekaaa[emoji22][emoji22][emoji22]
Mfyuuuu 😏Sasa je [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mfyuuuu [emoji57]