Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
There is mystery behind Willian, how comes he performed ugly most of times but in Brazil he is first xi and barca they demand him,don't we know how to get the best of him? Confusion upon confusionOne thing that I'm unable to understand is that what is so special about Willian that Barcelona are dying to have him (made 3 bids in summer and one again in winter) and Chelsea are dying to keep him. What is this mystery? Willian please tell us the secret?
Hivi sarri amewahi kucheza mpira kabla hajawa kocha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sawa na mourinho?
Mauro Icardi analipwa paundi 72k kwa wiki pale inter wakati
Alvaro Morata kucheza na toy na kuotea otea bure analipwa 100K/wiki
Victor Moses kukaa tu pale kwenye bench analipwa 75K/wiki
Olivier Giroud na ukapa wa magoli analipwa paundi 120/wiki
Kwa nini tusimsajili na kumlipa mshahara wa Giroud au hata zaidi kwenye paundi 150,000/wiki?
Daah huyu Marina anakotupeleka tutadumbukia kwenye shimo baya na refu. Hivi kweli mtu ana miaka 30 unapewa pesa hiyo unakataa kweli.? Tena unapewa na Malcolm bado unakataa, looh tunahitaji maombiKweli walitaka kutoa Malcolm+cash=£50M. Hii bodi inang'ang'ania kubaki na Willian. Malcolm ana 21 years. Willian 30 years. Cjui wanapendea nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo sawa na mourinho?
Daah huyu Marina anakotupeleka tutadumbukia kwenye shimo baya na refu. Hivi kweli mtu ana miaka 30 unapewa pesa hiyo unakataa kweli.? Tena unapewa na Malcolm bado unakataa, looh tunahitaji maombi
Sent using Jamii Forums mobile app