Tunacheza mpira mwingi lakini hauna maana. Huyu Sarri kaja kuiharibu Chelsea aise..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu Dogo hapaswi kabisa kuondoka aise. Tutakuwa tumezingua sana kama tutaruhusu aende.Willian, Alonso na Barkley ni wachezaj wa kawaida sana. Nmefurah kumuona Odoi
Ofcourse tumpe muda lakini kama gemu ya leo ilikuwa ya kushinda kabisa. Tottenham walishashikwa na nilitegemea tungeshinda 2-1 ..bado tunaitaji zaid kufanya usajili hasa wa forward kama cavan au Icard...Mkuu acha kuwa kama wale. Ndio kwanza msimu wa kwanza pia hajafanya usajili zaidi ya Jorginho tu. Alitegemea atawa transform Giroud na Morata kuwa on fire lakini imeshindikana. Mimi naomba tumpe muda at least tuanze kum judge baada ya msimu ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse tumpe muda lakini kama gemu ya leo ilikuwa ya kushinda kabisa. Tottenham walishashikwa na nilitegemea tungeshinda 2-1 ..bado tunaitaji zaid kufanya usajili hasa wa forward kama cavan au Icard...
Sent using Jamii Forums mobile app