Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Umeamua kupoza machungu kwa kuongea kingereza tupu ha ha haPlay Emerson over Alonso, start RLC ahead of Willian from the beginning. And I’m not just on about this game, he hasn’t dropped Willian ALL FUCKING SEASON, he hasn’t dropped Alonso, he hasn’t used CHO more, he drops Kovacic.
Nimecheza na Newcastle sio SotonSijui vitu unavyoongea unatoa wapi. Leo ulitarajia uta droo na Southampton halafu unasema utakuwa na mechi 5 mteremko. Ukweli ni kwamba kwa timu kama Chelsea wanapaswa kuchukua alama zote wanapocheza na timu kama SOTON
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikutafsiri tofauti asee,nlijua ni mtu Wa ZariballNimecheza na Newcastle sio Soton
Anaecheza na Spurs mechi inayo fuata kwenye ligi n Manchester United sio Chelsea
mwenye mechi mteremko baada ya hapo n Manchester United sio Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
You are too theoretical, anza sasa hivi kuwafuatilia uone silly mistakes wanaofanya hao Youngsters, MOU, CONTE na sasa SARRI hata ajaye hawezi kurisk mkate wake eti kwa sababu ya kuwa develop youngsters. Ligi ya Uingereza sio academy ni ligi yenye presures na kasi, ukitaka kujaribu mchezaji kijingajinga unaachwa mitaa ya Kariakoo. Ni Wenga peke yake alikuwa na roho ngumu na aliishia wapi? tuwe wakweli, Arsenal iligeuzwa kuwa academy na kocha kafukuzwa kwa sababu ya timu kutofanya vizuri. Mniwekee jina la kocha au timu inayowapa priority academy na kama inafanya vizuri!Tatizo Chelsea sio timu ya ku-develop young players ndio maana wana wachezaji zaidi ya 20 wanaocheza kwa mkopo na baadae watauzwa huwa nashangaa Mourinho anavyolaumiwa kuwa aliwauza Salah & De Bruyne
Christiansen hakuwa mchezaji mbovu kama unavyomueleza na kumbuka ndio ulikuwa msimu wake wa kwanza Chelsea na alicheza jumla ya mechi 40 pia kwenye WC alicheza mechi zote za Denmark Mbona kina Alonso,Willian,Morata pamoja na kuchemsha mbona wanachezeshwa?
Licha ya mafanikio ya karibuni Real Madrid haikununua wachezaji wengi waliamua kuwarudisha players wao waliowapeleka Kwa mkopo (Casemiro,Carvajal,Vallejo,Morata,Mariano) na imewasaidia kutotumia hela nyingi kwenye usajili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Kepa mlisema ni overpriced, subirini tu itaeleweka, wenzenu wenye radar wameona kitu nyie mko gizani mnajua kukosoaLabda unaongelea ushabiki,
Mbona morata mmepigwa ,ame offer nn nje ya uwanja?
Pulisic anaoffer nn nje ya uwanja ?
Kubali hiyo dogo hiyo ni overprice , timu nying zimemuhitaji ila sio kwa bei hiyo,
Mchezaj kuoffer vitu nje ya uwanja kuna vitu vingi na inategemea na perfomance yake, au brand ya klabu, na hasa hasa hizo klabu ni tatu tu, man u ,madrid na barca
Mchezaji anaweza kuwa ovyo na bado akaendelea kuoffer nje ya uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuja tu wala usijali, na safari hii Daniel Sturridge hatapata bahati ya kuchomoa dk ya 89Naona pumzi imekata, sasa kwa mpira huu mkija Anfield si mtakula 9-0 nyie
Arsenal is a rotten egg kule nyuma, Fulam wako bora mara tano ya Defence ya Arsenal, labda warekebishe January hii, bora ungesema mara 10 Man UnitedChelsea mna safari ndefu kupata top 4...Sioni mkiwapita City,Liver,Tot..Arsenal mkicheza Hivi na Sotton nyumbani soon atawapita.
Sarri hana plan B, analaumu halafu wachezaji wanacheza na mentality ileile, Uzuri Chelsea hawaangalii usoni wakati wa kutimua kochaWazee wa SIDEWAYS na BACKWARDS PASS Poleni sana