Alonso ki ukwel hamna saiv haf kocha nae kamng'ang'nia km dem wake daah ngoja tusbriKwa hii line up sijui , nitakata tuanze na false number 9 kitu ambacho kocha amekifanya Ila tatizo ninaloliona hapa ni Alonso, this guy is too slow kumkaba Rahim, cha ajabu zaidi hata Kocha juzi kwenye press conference alizungumzia Ila bado kampanga na Leo, sijamuelewa
Kufungwa ni kawaida katika soka ila nakuhakikishia leo ni ushindi hapa darajani hawataamini
Hujui chochote kuhusu mind game ya Sarri ww.Kwa hii kauli nimemshangaa sana Sarri, kama kiongozi, kama kocha unakiri vipi tena hadharani kwamba huwezi kumfunga opponent wako? Ni motivation gani unayowapa wachezaji wako, kama si kuwakatisha tamaa kwamba hawawezi kumshinda City hata siku moja?
Tena amesema kabisa mara zote 3 walizokutana Guardiola amemfunga, hivyo hajui ni namna gani atamfunga City. Eti ni namna gani atamfunga City waulizwe wengine lakini si yeye.
Dah, ningekuwa shabiki wa Chelsea ningekuwa disappointed sana. Yaani kocha amekubali kufungwa kabla ya mechi haijachezwa
Come on Chelsea!!!! For the obvious reason. Nitawaambia endapo Chelsea wakishinda. Unaweza kuotea..
Naona swala la mda limetimiaChelshit mtafungwa tu. Ni suala la muda. Acheni kujiangusha
inavunjwa na Liverpool mwaka huuMkuu Wewe ni Arsenal unamuombea Chelsea ushindi wakati unataka Kumshusha kwenye Table?
Au hutaki Unbeaten record yenu ivunjwe na Man City?
HT: Chelsea 1 vs Man city 0
45' Ngolo Cante
ππππMkuu Ni Kante, Sio Cante