I think out of the 10-15 crosses that Alonso puts in the box, only 1 ends up in the 6 yards box. He has no control at all on his crosses. He has a fullback and yet his crossing skills are one of the worst.
Sarri: "City are in another category. They're not in our category. We've to play and to fight to be in the top four I think. The result is very difficult for this. In every match you have to gain points. I lost Serie A with 91 points so I know every match you have to gain points"
Tumefungwa na team nzuri, haina haja ya kulaumu
tujiandae na mechi ijayo, nina uhakika city akijitahidi sana ni droo
by the way we are chelsea, kwenye mvua kwenye jua.
tusubiri.Natunza huu ujumbe wako mkuu.
Unadhani City ni Man U sio?
Eti Sarri ball [emoji23][emoji23][emoji23] kenge kabisa. Unamchezesha Kante winga mshambuliaji unategemea nini???? Unamchezesha jorgihno katikati wakati ndio kwanza mgeni katika ligi ya Uingereza unategemea nini??????? Yaani hii Sarri Ball inafanya wachezaji kama kina Hazard, Azipilicueta, Alonso, Kante, n.k waonekane wabovu. Timu inapiga pasi nyingi lakini hakuna cha maana katika hizo pasi, ngoja mkutane na man City alafu mcheze huo upuuzi wenu muone mtakacho fanywa. Lakin mtapata wapi mda wa kupiga piga hivyo vipasi vyenu kwa city [emoji23][emoji23][emoji23]
hili Sarri kalijibu mara nyingi kwamba kwa mfumo wake KAMWE hatamchezesha Kante mido ya Kati. kwa style ya mpira anaofundisha ni either Joginho ama Fab. upo kiongozi?Narudia tena, siku Chelsea ikianza kupata matokeo mabovu ndio mtajiuliza hili swali ninalojiuliza mara kwa mara
Kwanini Sarri amchezeshe Kante kiungo wa mbele (wakati Kante si mzuri sana kwenye pasi za mwisho na kumiliki mpira)? Kante ni mzuri kukata umeme mbele ya beki 4 na 5.
Ipo siku mtajiuliza hili swali, ngoja tujipe muda
Top four???? Hamuingiii nakuapiaFT thoughts #WOLCHE
* Christensen isn't Chelsea quality
* We don't have a striker
* Willian should never start for us
* Alonso just can't cross or defend
* Loftus-Cheek MOTM for us and should start matches
* This match shows we can't rely on our 2nd XI
* Top 4 is a problem now.
Bado msimamo uko palepaleCity wakiwachana hiyo tar 8 nitafukua kaburi lako na Mentor kujua kama bado mna msimamo wa kumaliza juu ya Liverpool.