Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Huu ni msiba sawasawa ma misiba ya jirani, uzuri wa msiba utamkuta kila mtu
Timu inapokuwa kwenye bad form hakuna cha kipa bora wala defence bora. Jana tulipwaya zaidi katikati na defence nao wakawa sio wazuri Kipa akaonekana mbovu. Kepa bado ana makosa madogomadogo lakini hazimfanyi kuwa kipa mbovu hata kidogo. Hata Alison mnayemsifia atakuja kufanya blunders mpaka mtataka akae njeDah! Kweli Siku Hazigandi aiseee! 😀😀
Hapa Katika Game 5 za mwanzo ilikuwa tafrani hapa Watu Kutiririka na Stats za Kuwa Kepa Ni bora kuliko Alisson...
Leo hii Munaanza Kummulika Pickford??
Wamelikwepa kama hawajaliona hili."Just a reminder that ‘One Season Wonder’ Mo Salah has more goals (9) than Hazard (8) who is having the best form of his life"
Nipo Hapa mwisho Wa Msimu Mo Salah Ndiye Top Scorer
Dakka walizocheza?Wamelikwepa kama hawajaliona hili.
Hayo mtajua ninyi. Mmekatazwa asicheze? Hazard mlisema ana have the best season. Ndo mchezaji bora wa msimu. Ndo tunawauliza vipi?Dakka walizocheza?
Hayo mtajua ninyi. Mmekatazwa asicheze? Hazard mlisema ana have the best season. Ndo mchezaji bora wa msimu. Ndo tunawauliza vipi?
We ndugu, mlikuwa mnasema hapa Salah ni one season wonder. Hazard ka take over, ni best premier league player kwa sasa. Sasa Hazard alichomzidi Salah ni nini msimu huu?EPL wote wana magoal 7. Sasa sikuelewi unachokiongea. Na Hazard alipata injury. Mins played Hazard (875) Salah (1,115) dakika walizocheza. Mara unaniambia mmekatazwa asicheze ha ha hah. Nshajua we ni shabiki wa aina gan
We ndugu, mlikuwa mnasema hapa Salah ni one season wonder. Hazard ka take over, ni best premier league player kwa sasa. Sasa Hazard alichomzidi Salah ni nini msimu huu?
Pointless.Ngoja nikupe jibu la kukuridhisha Salah ni mchezaji bora duniani hata World Cup ame perform vizur.
Tuambie bac na aina yamagoli waliyofunga bac, make mwengine kuna penalt kama zoteDakka walizocheza?
Mimi naona quality ya wachezaji wa Chelsea ni kubwa kuliko Spurs, tatizo hapa pia falsafa ya kosha sio ya kutumia nguvu bali short passes without aggressiveness. KIlichobadilisha hali ya hewa juzi ni Spurs walicheza kwa kasi na nguvu mwanzo mwisho. hawa hawa wachezaji wa Chelsea wakiamua kucheza aggressive football Spurs wangefungwa magoli mengi tu. Kocha anatakiwa sasa assisitize Aggressiveness kwenye mazoezi maana hapa wapinzani wetu walitucheki na wamegundua udhaifu wetu kuwa hatuwezi cheza aggressive game.Usajili ni essential hili halina ubishi, Willian ni jeuri kiburi na mchoyo, Morata viatu vya Costa vilishampwaya zamani. goli la pili limetengenezewa upande wa Kante na Azpilicueta na lawama kipa hakosi maana hata kuruka tu hakuruka ilhali anaona kabisa shuti linakuja. Goli la tatu ni counter attack ambayo imemkuta Alonso out of position na ndio hasara ya full back kuwa mzito kushuka anapopanda Kovacic anahusika sababu ndio upande wake wa kukaba, Jorginho asilaumiwe sana sababu holding midfield anasupportiwa na namba nane kwenye kuvunja mashambulizi, in that case it was Kovacic
Chelsea hii ukikaba Hazard kwisha habari , Pedro na Willian utawaona kama timu pinzani ina beki mbovu na Tottenham haiko hivyo! huku nako viungo wanaosupport mashambulizi (Kante & Kovacic) uwezo wao bado mdogo sana kuwa supplement strikers
Mimi naona quality ya wachezaji wa Chelsea ni kubwa kuliko Spurs, tatizo hapa pia falsafa ya kosha sio ya kutumia nguvu bali short passes without aggressiveness. KIlichobadilisha hali ya hewa juzi ni Spurs walicheza kwa kasi na nguvu mwanzo mwisho. hawa hawa wachezaji wa Chelsea wakiamua kucheza aggressive football Spurs wangefungwa magoli mengi tu. Kocha anatakiwa sasa assisitize Aggressiveness kwenye mazoezi maana hapa wapinzani wetu walitucheki na wamegundua udhaifu wetu kuwa hatuwezi cheza aggressive game.