Mpira unachezwa uwanjani. Let's them talk . Naamini front 3 yetu isipokuwa na ubinafsi tutafunga na kutoka na points nnyingi tu. Willian apunguze ubinafsi anapopata nafasi..wamwamini Morata tu. Chelsea 4rever#comeonchelseafc#People are too judgemental. Yan naanza kupata picha ni kwa namna hali itakua ikiwa tutafungwa. Ila ndio upinzani wenyewe tuwe wavumilivu katika hili.
Kwa upande wangu game ilikua ngumu na tulipoteza nafasi mwanzoni. Everton back line yao ilikua solid sana. Walikua hawafanyi makosa ya kizembe, so far matatizp yetu yanajulikana striker bado ni tatizo na viungo naona nao wanaanza kupoteana. Bado tuna tatizo na kufanya faulo nyingi mpaka tunapata kadi nyingi hii inaweza kutu cost endapo tukapata kadi nyekundu
Wana blues tuwe wapole achaneni na hao maneno yao ndio kwanza Sarri yuko kwenye msimu wake wa kwanza na anafanya wonders kama zote. Kuna watu ni msimu wa tatu hawajanyunyua makwapa na kujua kwao mpira. [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuweni wapole. Holla Bluees!!!
Mkuu sisi huwa tunapigania ubingwa tu. Hayo mengine ni matokeo tu.Mhhh!
Jamani ndugu zanguni msivunjike moyo,mwaka huu lengo liwe kurudi Champion League sio kuchukua ubingwa!
Mkitengeneza team mwakani hapo mnaweza kuwa title contender
Mwaka huu hamna mtu wa kufunga
Ndo kilichobaki hiki hvo vilabu vya makumbusho ..mnajivunia makumbusho poleeeMOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
-
MOST FA CUPS
1. 13- Arsenal
1. 12 - Mancester
3. 8 - Tottenham Hotspurs
-
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
-
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - Arsenal
-
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
-
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
-
And you think Chelsea is a football
club?
Chelsea is a night club so don't compare Chelsea
with the kings of England
Not my handwritting[emoji85]
Aliuzwa ila kuna buy back kwny mkatabaHivi huyu nathan ake aliuzwa au alienda kwa mkopo??
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
-
MOST FA CUPS
1. 13- Arsenal
1. 12 - Mancester
3. 8 - Tottenham Hotspurs
-
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
-
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - Arsenal
-
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
-
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
-
And you think Chelsea is a football
club?
Chelsea is a night club so don't compare Chelsea
with the kings of England
Not my handwritting[emoji85]
Unafuga mbwa kwa kitegemea mavi ya mlevi... 😂Sasa kwan kuwa wa pili kwa gap la 2 points na man city unadhan sio kuongoza ligi.
Isitoshe kila weekend lazma tuongoze ligi kwa masaa, hapa tunachosubiria ni Man city kuja kudraw au kupigwa pin kabisa na chelsea, tuongeze ligi mazima
Duh tupate strike mmoja January mambo yaende mswanoRumours transfer View attachment 936208
Ina maana majirani zetu hawapoVilabu vyenye magoli mengi katika ligi 5 bora barani ulayaView attachment 936214
According to Marko Arnautović's agent, Chelsea and Everton are among the number of Premier League clubs interested in signing Marko Arnautović. Ndio maana y tetes s kiyu real
Naombea usitokee huu ujinga. Kuna wachezaji wengi Martial, Delay Memphis, Fekir etc
Chelsea wakifungiwa inaweza kuwa Neema badala ya balaaFIFA refute Football Leaks assertions that Chelsea are set for a two-year transfer ban, in relation to the signing of 14 Under 18 player Bertrand Traore is one transfer still being investigated. #CFC
Lakini mm naona Kepa bado sana kufika level ya De Gea. Nadhani kocha anatamka hivyo ili kumpa tu changamoto lakini kiwango chake bado sana.According to Spanish News outlet AS, Kepa could replace De Gea as the new no.1 in the Spanish national team. Luis Enrique has told De Gea that he can't guarantee him the first spot after another poor performance against Croatia.
Haoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawaLakini mm naona Kepa bado sana kufika level ya De Gea. Nadhani kocha anatamka hivyo ili kumpa tu changamoto lakini kiwango chake bado sana.
According to Spanish News outlet AS, Kepa could replace De Gea as the new no.1 in the Spanish national team. Luis Enrique has told De Gea that he can't guarantee him the first spot after another poor performance against Croatia.