Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna kila dalili kuwa Man City ndiye Bingwa msimu huu..

Lakini nakukumbusha tu kuwa huna haja ya kujisifia nafasi ya pili kwani tunapishana hii nafasi kutegemeana na nani anacheza na timu kubwa.
Kwahiyo hata wewe ukicheza na Man City basi utanipisha tu hapo.
Hahaha,unachosema ni kweli ila tukifanikiwa kupata foward mwezi january ambaye anaweza funga goli kuanzia 15 nauhakika epl yetu
 
Kuna Siku mimi niliyokwambia Liverpool bingwa???

Fukua Makaburi uilete hiyo post niliyowahi kukwambia Kuwa Liverpool Ni Bingwa.

Ivi unadhani anachokisema Malafyale ndiyo anatuwakilisha sisi site?

Halafu juu ya kuwa umejua Mpira 2010, lakini hiyo elimu yako ndogo uliyonayo juu ya Mpira ndiyo inakufundisha kuwa Ukidraw na Arsenal Ndiyo Mwisho Wa Safari?
Sasa kama kudraw na Arsenal ndiyo Huna timu, Je uliyedraw na West Ham tukuite vipi?

Mimi sina timu ya Kutwaa Ubingwa that is why Points 27 tulizonazo Ni za Mezani tumezipata Kwa Rufaa hatukushinda.

Na kwenye Michezo 11 tulitocheza nadhani tumefungwa Michezo 6 kati ya hiyo that is why tunashika Mkia kwenye Relegation zone.

Jifunzeni Kuujua Mpira musiwe wabubusa kila Siku.

Mimi sio size yako bora Nikuache ngojea waje Size yako kina Malafyale ujibizane nao.
Nyie mnasindikiza bingwa
Huo ndio ukweli
 
Hahaha,unachosema ni kweli ila tukifanikiwa kupata foward mwezi january ambaye anaweza funga goli kuanzia 15 nauhakika epl yetu

Hakuna Timu unayotaka Forward January akakuuzia hiyohiyo January.
Ukitaka Forward January manake umsubiri June.
 
Hiki ndo kikosi chetu cha leo..

Screenshot_20181104-184700_LiveScore.jpeg
 
Na Crystal Palace ndivyo walivyojipanga...wamemweka Zaha kati.


Huku kwetu Hazard yupo bench.
Screenshot_20181104-184721_LiveScore.jpeg
 
Umaliziaji butu bado...

Possession nzuri mpaka sasa.

Defence ipo solid.
 
Proposed substitutions:

Hazard for Pedro.

Ruben Loftus Cheek for Morata

Kovacic/Fabregas for Barkley.
 
In other news...Chelsea Women wanatoa kichapo kwa Westham
Screenshot_20181104-195245_The%205th%20Stand.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom