Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Tar 7 Oct Liv vs Mancity, Che vs Southamptom
Hapo lazima mmoja au wote wadrop pointnyuma ya Chelsea
Umepiga ngp mkuuCHELSEA ANAPIGWA NAOMBA MUIFADHI HUU UJUMBE
Sasa ivi saa 12:36
Na hii ndiyo changamoto kubwa. Tunahitaji striker wa maana atakayeweza kuforce mashambulizi.
Halafu pia substitution inabidi aziangalie sana. Kwa game ya jana mi nilidhani anapotoka Kova angeingia Fab nadhani ingeweza kusaidia katika umiliki wa mpira. Kaingia Barkley ndio akapotezwa kabisa.
Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilifanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakima Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
6 - Eden Hazard has scored six goals from just eight shots on target so far in the Premier League this season. Pinpoint. #CHELIV OptaJoe on Twitter
View attachment 882015
Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.
Hilo hata sarriball analijua kuwa man city na Liverpool ndio team zilizokamilika lakini nikuambie sarriball ana akili zake kichwaniWillian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Mwaani mtakuwa wazuri sana,mwaka huu mtarudi tu champion league kuchukua nafasi ya Man u
Mwaka huu mbio za ubingwa ni Liverpool na Man City
Kubahatisha tu unaongea sana na nikwambie ndio ilikuwa Salama yenu mngeruhusu tumiliki kama kawaida yetu mngekufa mbili safi kabisaKuna kinyang'au kinazungumzaga habari za Passes leo kimefyata kabisa
Sarriball ya nyoko
Nasikitika FA wameamua kumuondoa mapema lampard kwenye karabao cupIyo gemu na derby canti siipati picha itakuwaje... Maana Lampard anarudi nyumbani..
Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilofanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakina Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
Sarri aliona ameshinda game na kwamba Liverpool wasingeweza kurudisha goli hivyo aliamua kumingiza Barkley ili kuweza kumpa uzoefu ktk big game Kwa ajili ya future maana Faby game Ya jana yenye kasi na nguvu asingeiweza. Kwahiyo inahitaji vijana. Ata hivyo Barkley ni chaguo la kwanza la sub mbele Ya faby kwasbbu future ya Faby hapo darajani ni ndogo sn.Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.
Lakini ulishuhudia vizuri kilichotokea baada ya Barkley kuingia. Amini kwamba hii game ilimfaa sana Fab kama sub ya Kova.Sarri aliona ameshinda game na kwamba Liverpool wasingeweza kurudisha goli hivyo aliamua kumingiza Barkley ili kuweza kumpa uzoefu ktk big game Kwa ajili ya future maana Faby game Ya jana yenye kasi na nguvu asingeiweza. Kwahiyo inahitaji vijana. Ata hivyo Barkley ni chaguo la kwanza la sub mbele Ya faby kwasbbu future ya Faby hapo darajani ni ndogo sn.
Faby ni mzuri kuliko Barkley lkn faby hana nguvu ya kupambana na watukutu kina Henderson, Wijnaldum na Milner.Lakini ulishuhudia vizuri kilichotokea baada ya Barkley kuingia. Amini kwamba hii game ilimfaa sana Fab kama sub ya Kova.
Sarriball ni kocha mzuri sana tena sanaHilo hata sarriball analijua kuwa man city na Liverpool ndio team zilizokamilika lakini nikuambie sarriball ana akili zake kichwani
Anaweza kuwasifia man city na Liverpool lakini akawafunga vilevile kwa sababu uwezo anao
Kumbuka chelsea haikupewa hata kuwamo kwenye top 4 ya EPL
Fab anaexperience na EPL, ana experience na big games. Yupo viziri kistamina though kuna baadhi ya games anapoteana kabisa. Mimi naamini kwa game ya jana ilimfaa kwa sababu Fab ana uwezo wa kumiliki mpira hiyo ingesaidia na kumpa tafu Ginho ambaye alizidiwa kabisa na kina Milner na Gini.Faby ni mzuri kuliko Barkley lkn faby hana nguvu ya kupambana na watukutu kina Henderson, Wijnaldum na Milner.
Ata Huyo Jorginho hana huo ubavu ata Kova hana. Ni Kante tu ndio alikua anawaweza.
Ni kweli na mimi nakubaliana na wewe hasa luizi ndio shida kubwa rudiger afadhali ana mbio pale anapopitwa lakini luiz ni majanga akipitwaSarriball ni kocha mzuri sana tena sana
Chelsea ni team nzuri sana tena sana
Lkn pale kati Luiz na Rudiger wawena mtu wa ukweli kama sisi VVD
Amchukue mtu kama Manolas au Fazio au Maguire
Cha muhimu zaidi CL mwakani mmeisha ipata
CL spot namba nne ndiyo anagombea Spurs na Arsenal
Yaani kabisa kabisa,mnakaa kwenye TV zenu mnajipa moyo kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea hii?Fab anaexperience na EPL, ana experience na big games. Yupo viziri kistamina though kuna baadhi ya games anapoteana kabisa. Mimi naamini kwa game ya jana ilimfaa kwa sababu Fab ana uwezo wa kumiliki mpira hiyo ingesaidia na kumpa tafu Ginho ambaye alizidiwa kabisa na kina Milner na Gini.
Barkley na Fab hawana tofauti sana kiuchezaji though Fab anaweza kumiliki mpira Barkley yeye mashuti kumiliki mpira si sana. So uwepo wa Fab ungesaidia kusababisha fouls.
Pia Madrid hawana mtu wa kuongoza teamNi kweli na mimi nakubaliana na wewe hasa luizi ndio shida kubwa rudiger afadhali ana mbio pale anapopitwa lakini luiz ni majanga akipitwa
Chelsea wameshaandaa mkataba mpya anaweza kusaini ngoja TusubiriPia Madrid hawana mtu wa kuongoza team
Kwa hiki kiwango cha Hazard sidhani kama January atabaki
Hazard hamna cha Mbappe wala Neymar wala yyt kwa umri wake
Nadhani atavunja rekoi ya bei ataenda Madrid