nyie chelsea ndio mnatakiwa kufurahi.tulikua tunabeba points zote 3 leo hapo kwenu, timu yenyewe wachezaji wanakimbia kimbia tu ovyo na hazard wenu.Timu pekee inayotakiwa kufurahia matokeo haya ni Man City
Hii ni EPL ,kama mnataka EPL mtulize mishono, EPL haipatwi kwa kuifunga Chelsea au any other BIG team ,unless muwe RETARDED .F.y.i rudi usome comment yangu kuhusu Klopps aproach ya mechi ya Leo kwenye Uzi wenu kulehatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.
Sio unafurahia kuokoka na point moja baada ya kukaa dk 70 zote roho ikiwa mkononi baada ya kutandikwahatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.
sio kama mnataka, tunataka tunajilaumu kukosa points 3 hapo darajani. hata ww unajua uwezo tulikua nao leo, tumemiliki mpira tumekosa goli za wazi kbs.Hii ni EPL ,kama mnataka EPL mtulize mishono, EPL haipatwi kwa kuifunga Chelsea au any other BIG team ,unless muwe RETARDED .F.y.i rudi usome comment yangu kuhusu Klopps aproach ya mechi ya Leo kwenye Uzi wenu kule
sio uzembe ile ilikua imepimwa ikapimika.kipa kashangaa tu nyavu zinatikisikaKesho tutarudi hapa ku discuss goli tulilofungwa , kosa la nani ?
Kipa? mabeki? Formation?au? Wadau muhimu naomba muda mtumie kuangalia tena na tena highlights .KTBFFH
Mkuu achana nae usi quotesio kama mnataka, tunataka tunajilaumu kukosa points 3 hapo darajani. hata ww unajua uwezo tulikua nao leo, tumemiliki mpira tumekosa goli za wazi kbs.
hongereni kwa kupata draw.kukimbia kimbia kumewasaidia
sarriball
mpira ni dk 70 cku hizi? mbona ww dk 2,zimewashinda kulinda goli?Sio unafurahia kuokoka na point moja baada ya kukaa dk 70 zote roho ikiwa mkononi baada ya kutandikwa