eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Hakika mkuu radikaKwa sasa naona hazard yupo kwenye form ya hali ya juu sana toka aende kombe la dunia na kurudi kiwango chake kimeongezeka maradufu ukiangalia soka la ubelgiji na la sarri vinaendena kule henry anafanya yake kaja huku kakutana na hicho hicho wa kweli yupo vizur sana.
Alikuwepo na alitoka akaingia firmino mkuu wote mastaa wao walikwepoNa yule Mane wao wanaomlinganishaga na Hazard yeye hakwepo uwanjani?
Sio full match hata dk 10 za mwisho tuBado hajamfunika Alonso. Hata nusu hajafikia.
Ataendelea kutumika Carabao na FA.
Watamlaumu kwa lipi sasa kwa migoli ya janaIla kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.
Ushabiki tuweke pembeni. Yale magoli aliyofungwa kuna kipa ambaye angeweza kuyazuia? Mathalan, Allison angekuwepo, ingesaidia chochote? Aje?
N
Natamani kweli kujibiwa hili bila ushabiki wa timu.
Cc: Malafyale, King Ngwaba, DON cleruzion
Bao la kwanza mbele ya VVD huwezi piga kile kichwaIla kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.
Ushabiki tuweke pembeni. Yale magoli aliyofungwa kuna kipa ambaye angeweza kuyazuia? Mathalan, Allison angekuwepo, ingesaidia chochote? Aje?
N
Natamani kweli kujibiwa hili bila ushabiki wa timu.
Cc: Malafyale, King Ngwaba, DON cleruzion
Shaqir HAWEZI cheza Jumamosi hata kama asinge zozana na kochaUgomvi wa Shaqir na Klopp mtaji wetu Jmosi
Tutajie kaka hcho kikosiShaqir HAWEZI cheza Jumamosi hata kama asinge zozana na kocha
Kikosi cha Liverpool kinajulikana cha Jumamosi
Mignolet anahusikaje na kutokuwepo kwa VVD?Bao la kwanza mbele ya VVD huwezi piga kile kichwa
Bao la pili mbele ya VVD huwezi katiza vile
Tusiongee sana Jumamosi isha fika,Sioni sababu hata moja vikosi vya kwanza hizi teams zikicheza kama Liverpool atapoteza!
Sijaona bado!
Sijui kwa nini JF hakuna sehemu ya dislike. Hivi ni wewe ndiye uliyeandika hapa..?
Mchukueni achezee Liver.Barkley kiwango chake kizuri sana mm napendelea aanze halaf covacic awe sub hyo jmosi
Cha kukushangaza ni watacheza Luiz na Cahill na bado hamna uwezo wa kushinda.Liverpool anampiga Chelsea Jumamosi,hamna team pale jamani tuwe wakweli
Kweli Luizi na Rudiger ndiyo wakumzuia Booby na Salah wanaunguruma?
Hahahaa badala yake kwako umekuwa wa moto
Niliwaambia Hapo anfild kwenu sisi hua ni kama kwenda sokoni kununua bidhaa tu mkabisha
Liverpool 1
Chelsea 2
Tukutane
JUMAMOSI mkiwa na kila mtu na cc tukiwa na
Watu asee
Ila kiukweli natamani kufahamishwa kosa la Mignolet jana.