Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,796
- 82,278
Hii ni Homa tu juu ya mapambano mawili yajayo dhidi ya Liverpool. Nafurahi mkianza kutengeneza visababu maana siku hiyo hamkawii kuja kuchukua hizi post kama reference ya kujitetea. [emoji2] [emoji125]Mabeki wetu Alonso na Luiz wanazngua sana. Beki wetu bora Rudiger kaumia. RW wetu Pedro kaumia. Willian ni wa kutokea sub. Emerson na Christensen waanze jumatano
Hivi wewe unapiga cha chuga eeh, mechi na BHA pasi zilikuwa ngapiNimesema ni mara ya kwanza mnafikisha pass 700 si niko sahihi
sarri! ....anaukubali sana mpira wanaopiga The kops!....ha ha haaaa"It will take Chelsea one season to be on the same level with Liverpool and Man City" - Maurizio Sarri
Game ni ngumu badoHii ni Homa tu juu ya mapambano mawili yajayo dhidi ya Liverpool. Nafurahi mkianza kutengeneza visababu maana siku hiyo hamkawii kuja kuchukua hizi post kama reference ya kujitetea. [emoji2] [emoji125]
Jorginho bana highest ya number of pass lakini Assist ni 0 ........... Ndugu zangu wa Sari ball ni bora midfielder acheze pass hata 30 with Assist kuliko kuwa na kiungo anayecheza pass 200 without Assist ni mzigo.
mechi ni ngumu kwa timu zote mbili, timu zote mbili zinanafasi ya kushinda na pia zina nafasi ya kutoa sareGame ni ngumu bado
Hebu chungulia hapoZile tunaziita Pasi Zisizo na Madhara!
• Unapiga Pasi 200 per game
× Lakini Zero Shot (On Target)
× Zero Assist
× Zero Goal
× Zero Key Pass
• Then Fnaboys Wake Wanakuja Kujisifia na useless stats zake 😀😀😀
Si bora Mzee wetu Milner Pasi 20 per game lakini Miassists Kibao pamoja na Key Passes.
Hebu chungulia hapoView attachment 876139
Key passesZile tunaziita Pasi Zisizo na Madhara!
• Unapiga Pasi 200 per game
× Lakini Zero Shot (On Target)
× Zero Assist
× Zero Goal
× Zero Key Pass
• Then Fanboys Wake Wanakuja Kujisifia na useless stats zake 😀😀😀
Si bora Mzee wetu Milner Pasi 20 per game lakini Assists Kibao pamoja na Key Passes za Kumwaga.
Usikurupuke Hapo Nimemzungumzia Jogging-Nyo na Useless Passes zake.
Nafasi katengeneza nyingi tyu. Acha uongo ila strikers ndo wameshindwa kutumia
Tatizo si kwa Jorginho sasa kama anapiga key passes striker wanashindwa kutumiaKwahiyo Kama Nafasi imeshinda Kutumiwa inahesabika Kuwa Ni Assist ama?
Game ijayo Chelsea vs Liverpool kwenye kombe Carabao itaoneshwa na king'amuzi ganiHii ni Homa tu juu ya mapambano mawili yajayo dhidi ya Liverpool. Nafurahi mkianza kutengeneza visababu maana siku hiyo hamkawii kuja kuchukua hizi post kama reference ya kujitetea. [emoji2] [emoji125]
Sasa na wewe unaleta vichekesho kweliKey passes
Deep lying midfielder anacheza juu ya mabeki. Halafu unataka hvyo. We mlete mchezaji wako wa liverSasa na wewe unaleta vichekesho kweli
Huyo jogihno wenu kapiga passes 180
Out of 180 passes only 3 key passes were completed!
sasa twende kimahesabu madogo tu.
=(3/180)x100=1.66%
na ndio maana king Ngwaba anakwambia huyo jogihno wenu anapiga useless passes!
mathematically lazima ukubaliane naye!
hapo hakuna mjadala kaka! Period!
Jogihno is crap!!!!
sawa wewe ndio unajua position na role ya jogihno uwanjani sisi atujui!Kwanza nmegundua hamjui position ya Jorginho uwanjani