Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Hahaha Klopp?? Msimu uliopita nilikuwa m'bovu lakini hukunifunga. Sasa msimu huu usiongee kabisa. Halafu una kariri sana mechi mkuu.
Joginho nimchezaji anaecheza pasi nying zisizo na madhara kwa adui wake [emoji3][emoji3]
Natania tu jaman vp mhali gan lkn
Na kusababisha penalti na PSG. Jorginho kitu gani bwana?Yani Mipasi Yote Hiyo Ukiuliza Assist au Goli ndiyo Kichekesho. 😀😀
Wakati Mwenziwe Gini anapiga Namba 6 kama yeye Na Pasi Zake Chache za Kibabe lakini Juzi tu Kawanyoosha Spurs goli la Mapema Sana. 😀😀
Ile gemu ilikuwa ni ya mwanzo kabisa wa ligi. Conte alikuwa bado haja approach mfumo wake kwa Chelsea ..ndo maana mlituotea, lakin gemu ya pili hope tulikaza tuka draw..Kila Ukiwa Mzima Ndiyo Ninapokufunga! Au Umeshasahau Msimu Uliobeba Ubingwa na Conte Nilikufanya Nini Hapo Darajani?