Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi ya leo timu haikuwa kiwango chake kama kulikuwa na uchovu fulani na baadhi ya wachezaji hawakuwa kwenye ubora wao tujipange mechi ijayo

Hope mnajua mechi ijayo mnakutana na nani, na bundi ndo kashawavamia.
 
Joginho nimchezaji anaecheza pasi nying zisizo na madhara kwa adui wake [emoji3][emoji3]

Natania tu jaman vp mhali gan lkn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…