eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Hachukui hata tuzo moja hapoGoli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.
Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili [emoji23] [emoji23]
[emoji117] The Best FIFA Football Awards[emoji769] - FIFA.comView attachment 855894
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuzingua bro.Kwangu mimi ni bora angesepa msimu huu tu
E&K
Hakuna shida mkuu mentor kwa sababu yeye mwenyewe ndiye akitaka kuondoka tangu wakati kombe la dunia likiendelea
Alitaka kuondoka kutokana na kocha aliyekuwepo.Hakuna shida mkuu mentor kwa sababu yeye mwenyewe ndiye akitaka kuondoka tangu wakati kombe la dunia likiendelea
Naona Pedro anafanya vizuri hivi sasa
E&K
Atasaini mkataba mpya endapo tutafuzu kucheza UEFACha msingi ili nijue kweli anafurahia stayle mpya za sarriball kuliko conte na mourinho asaini mkataba mpya
E&K
Which is given msimu huu hata Europa tunaweza kushinda.
Kufuzu Uefa sio jambo gumu nitafurahi nikimuona hazard anasain mkataba mpya
Anatua Madrid JanuaryKufuzu Uefa sio jambo gumu nitafurahi nikimuona hazard anasain mkataba mpya
E&K
Afate nini huko madrid ishajifia zidane hayupo Ronaldo hayupo
Unahitaji psychology kubwa kukaa na wachezaji wakubwa. Wale huwezi kuwatreat anyhowHakuna shida mkuu mentor kwa sababu yeye mwenyewe ndiye akitaka kuondoka tangu wakati kombe la dunia likiendelea
Naona Pedro anafanya vizuri hivi sasa
E&K
Hata mm mkuu... Namkubali sana yule jamaaWakati wengine mastaa wao ni Ronaldo na messi mimi star [emoji92] wangu ni hazard siku zote
E&K
Khe khe khe khe 🤣 khe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha msingi ili nijue kweli anafurahia stayle mpya za sarriball kuliko conte na mourinho asaini mkataba mpya
E&K
Habari Kama izi...wale jamaa wa majogooo wakiona wanaumia kweli kweli Wao kila msimu kombe lao...#king Gwaba na malafyale#Which is given msimu huu hata Europa tunaweza kushinda.
Kwa man city hii (labda KDB aje kuleta mabadiliko) na Liverpool...tuna nafasi kubwa pia ya kushinda ligi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili hata mimi naliona. Ila ikifika January tufanye usajili wa striker tuWhich is given msimu huu hata Europa tunaweza kushinda.
Kwa man city hii (labda KDB aje kuleta mabadiliko) na Liverpool...tuna nafasi kubwa pia ya kushinda ligi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamtua wewe.?