Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Kaikuta timu anataka aibadilishe usidhani unapobadilisha mfumo ndan ya msimu mmoja ni jambo jepesi. Klopp mwenyewe huu msimu wa tatu anajenga timu. So far kadri siku zinavyoenda ndio unazidi kugundua makosa yako. Kwa muda aliokaa na timu toka achukue timu amefanya vizuri ni swala la muda tu.Tuliwaambia Mapema Haya Kuwa SarriBall Ni pasi na kwenda Mbele tu Bila Ya Ushindi! Sasahivi Mushaanza Kutuelewa.
Hongera mkuu. Ila usinifanyie hivyo. Si umeona nilivyokuwa nawaombea mshindeMurembo Mimi kesho nipo Tottenham[emoji3] [emoji3]
Yangu leo yamekwisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado beki ya Chelsea haija adopt mfumo wa Sarri vizuri lakini haimaanishi kuwa Liverpool mtatufunga. Bado mapema sana kuamini ilo ...Mmeshaanza kujitambua, almanusura.
Kwa matobo mnayoyatengeneza msiwalilie Liverpool kabisa.
Hongereni kwa ushindi lakini.
Alonsoooooo[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Alonso anatuokoa sana, hii ndio maana ya timu sio kumtegemea Foward mmoja tu kama Salah tu[emoji3] [emoji3]
Dah hila Nu casto kwenye uwanja wao hatujafua dafu kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanadhani kubadilisha mfumo ni kama kutoa kitasa cha zamani na kuweka kipya.[emoji3] [emoji3] hii team siku hizi inanishangaza sijui inakuwaje
Kutoka team iliyokuwa ikipiga pass 300 mpaka pass 800
E&K
Huu mfumo mzuri. Sema bado hajapata watu perfect kea asilimia angalau 90 na waliopo pia hawaja master vizuri. Mpemuda ni bonge la mfumo.Mkuu huu mpira wa Sarri kwa ligi ya England asipobadilika atapata tabu sana kushinda.
Maana timu nyingi za England zinatumia sana kaunta taki.
Tumeshinda lakini mfumo wa Sarri sio wa kutegemea ushiñdi kwa asilimia hata 70%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pass 838. Chelsea
Pass 131. Newcastle
Ukisikia tunaongoza kwa pasi nyingi usishangae
Kabla ya hii match tulikuwa na pass 1368 + 838 utajua mwenyewe utapata ngapiView attachment 847759
E&K
Klop ana msimu wa nne sasa bila kikombe huko jukwaani kwenu mnasema bado anajenga timu, uko hapa bize kumshambulia Sari , serious dude.Take a chill pill.Hapo Hapana Cha Aibu Mkuu! Kilichobadilisha Story Ni Kuwa Mumeshinda tu!
Lakini Mpira Uliopiga Passes 913 halafu Ukawa na Shots On Target 3 tu Kwa dakika 90 + 5 basi Kuna tatizo Kwenye Mfumo.
Mkuu kwakua ulitaka tufungwe ndio maana unaandika hiki kitu. Hujaandika kama mtu anayejua kuchambua mpira. Nakushauri rudi kaangalie penalty ilivyokua Numbisa kakuwekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] hii team siku hizi inanishangaza sijui inakuwaje
Kutoka team iliyokuwa ikipiga pass 300 mpaka pass 800
E&K