OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Come on the Blues[emoji123] [emoji123]
Ah Wapi!! πππ
Dakika ya 67:
Shots on Target: Chelsea 6 - 5 Arsenal
Shots off Target: Chelsea 5 - 5 Arsenal
Possession: Chelsea 61 - 39 Arsenal
Corner Kick: Chelsea 4 - 0 Arsenal
Goals: Chelsea 2 - 2 Arsenal
Kama huu ungekuwa ni ushindi, Mourinho asingekuwa na Kombe lolote kwenye ufundishaji wake
Naona Munaanza Kuchomoza Kutoka Mafichoni ππ
Naona Furaha Yenu imerudi tena ππππ
Badilisha apo eka tatuAh Wapi!! πππ
Dakika ya 67:
Shots on Target: Chelsea 6 - 5 Arsenal
Shots off Target: Chelsea 5 - 5 Arsenal
Possession: Chelsea 61 - 39 Arsenal
Corner Kick: Chelsea 4 - 0 Arsenal
Goals: Chelsea 2 - 2 Arsenal
Tupo sana mkuu ..tulikuwa bize kuangalia Sarriball.Naona Munaanza Kuchomoza Kutoka Mafichoni ππ
Alafu kama kuna mtu ana follow breathechelsea Instagram hivi in kuwaje hiyo page haipo tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
Kwani ilikua imepotea mkuuNaona Furaha Yenu imerudi tena ππππ