Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habar Zenu
Naona chelsea mko bize na kutest Mitambo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usajili wa CFC huwa hovyo
Tangu aondoke Eminalo usajili Chelsea umekuwa wa hovyo sana.

Yule mama kazi imemshinda kabisa, hajui mpira hajui chochote ..mf tu usajili wa Bakayoko, morata.. hakuna chochote walicholeta kwenye timu mpk sasa.

Usajili wa Lukaku chini ya eminalo ulifikia ukingoni kabisa, lakin baada ya kuacha kazi lukaku yko manure ..Alexandra Golovin tumemtaka sana ..Eminalo kashafanya yake uko Monaco

Sisi kinachotukosti ni hatuna technical director mzuri, niliskia wanampa Ballack..sa sjajua imeshia wapi.
 
Ujielewi
 
Golovin alitaka ahakishiwe nafasi ya kucheza first eleven kitu ambacho Chelsea ilishindwA
 
Chelsea wamevunja rekodi ya dunia katika ununuzi wa mlinda lango kwa kumnunua kipa, Kepa Arrizabalaga kutoka klabu ya Athletic Bilbao ya Uhispania kwa £71m.

Mlinda lango huyo mwenye miaka 23 amesaini mkataba wa miaka 7 ili kujaza nafasi ya Thibaut Courtois ambaye anakaribia kukamilisha uhamisho wake kutoka Stamford Bridge kwenda Real Madrid ya Uhispania.

Hapa chini Makipa wamelinganishwa kwa kuangalia msimu wa 2017/18
 
Jembeee jemneekaaaa
 
Huyu kipa na madogo tulionao...nani ni bora zaidi!??
 
Huyu kipa na madogo tulionao...nani ni bora zaidi!??
Huyu Kipa najua anasifika sana na nimemuangalia Youtube yuko vizuri japo naona kwenye kushughulika na krosi shida kidogo.......Bulka nimeangalia mechi zake 3 zote za pre-season msimu huu na yeye ni mzuri

Kwa hivyo, siwezi kusema kabisa nani mzuri...ila kwa hapo nilivyoona tu hivyo kidogo Kepa mzuri kuliko Bulka

Ila kwa usajili huu sioni future ya Bulka tena klabuni maana hatokubali kuwa namba mbili nyuma ya Kepa
 


Dah! Kwa Market Hii niwazi Kuwa Hatobaki Mtu Salama!!!
Liverpool Alinunua Kipa Alisson kwa £65m haijafika Hata Mwezi Mmoja rekodi inavunjwa means Next season Kipa atacheza na £100m ...
Sasa Ni Wakati Huu Wa Kutayarisha Makipa Kutoka Academy..

Liverpool kanunua Beki Kwa £75m ikaonekana Ni ghali!! Sasa Beki Wa Kawaida tu Kama Maguire Timu zimemtaka zimeshindwa Kumnunu Jamaa Wanataka £80m.

Nadhani Baada Ya Misimu Miwili tu Tutajengeana Heshima Manake Wale Real na Barcelona waliokuwa Wakituchukulia Wachezaji Wetu Kwa Soko litakavyokuwa Hawatoweza tena Bali Watasubiri mpaka wamalize mikataba Kama walivyofanya Kwa Courtoise.
 
Sasa hivi mchezaji wa kawaida sana anakuwa na bei kubwa kweli. Huyu Kepa January alikuwa anunuliwe na Madrid kwa £20m lakini hakununuliwa.

Baada ya hapo ndio akasaini mkataba ambao uliwekewa release clause ya £71.6m
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…