Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Amesema anabaki hauzwiHuyu bado hajauzwa tu.
Huu mwaka wake wa wachezaj wengi wamezaaMorata kabadili jezi number kutoka no 09 mpaka 29. Ni baada ya kupata watoto mapacha tarehe 29 July.
D. Drogba alikua anavaa 11,
D. Costa alikua anavaa 19,
Hao wote waliperform vizuri. Muangalie Torres alivaa namba 09, na sasa ni Morata 09
Ngoja tusubiri tuone kama itakua kweli japo haya ni mambo ya kufikirika tu.
Huyu bado hajauzwa tu.
Bado
Amesema anabaki hauzwi
Haa haa haa haa aiseee mmeamuaOlivier Giroud
CHELSEA wapo katika mazungumzo ya nguvu na Marseille kwa ajili ya kumuuza staa wao, Olivier Giroud kwa dau la pauni 20 milioni tu baada ya staa huyo kutokuwepo katika mipango ya kocha mpya, Maurizio Sarri.
Wababe hao wa Stamford Bridge walimnasa staa huyo Mfaransa katika dirisha la Januari akitokea Arsenal walipokuwa chini ya kocha, Antonio Conte lakini sasa wanataka kuachana naye na kutafuta mshambuliaji mpya.
Amekataa kwenda marseilleHaa haa haa haa aiseee mmeamua
Kumpoteza kabsa huyu jamaa akazeekee
Huko kwao Marseille
Amejua janja yenu ndo maana hatakAmekataa kwenda marseille
Hatuwez kumrudisha kwetu
Arsenal wametuuzia kichupa tukidhani madini jamaa amen'gang'ania hataki kwenda ingawa ukimkompare na baba wawili bora mandevuAmejua janja yenu ndo maana hatak
world cup hakupiga shuti hata moja langoniHatuwez kumrudisha kwetu
Bahat yake mbaya mzee wake tulimfungia
Virago angerud hata na mlango wa wani
Jamaa kama vile aliota kuwa baba yake anaondokaArsenal wametuuzia kichupa tukidhani madini jamaa amen'gang'ania hataki kwenda ingawa ukimkompare na baba wawili bora mandevu
Haa haa anajua akitoka EPL n kwisha habar yakeArsenal wametuuzia kichupa tukidhani madini jamaa amen'gang'ania hataki kwenda ingawa ukimkompare na baba wawili bora mandevu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lakin amebebe kombe kwa msaada wa ngolo kanteHahaha jamaa
world cup hakupiga shuti hata moja langoni
Hahaha baba wawili ametuhakikishia kwamba mwaka huu tutamfurahia maana amebadilisha namba ya jezi ngoja tumvumilie msimu huuHaa haa anajua akitoka EPL n kwisha habar yake
Anamuona balotel na evra wanavohaha
Sasa na yy hatak yamkute hayo
Af c naona pia hamtak baba wawili
Mandevu na hamtak c muwape hata bure ggm ya morinyo
Na Falcao piaMorata kabadili jezi number kutoka no 09 mpaka 29. Ni baada ya kupata watoto mapacha tarehe 29 July.
D. Drogba alikua anavaa 11,
D. Costa alikua anavaa 19,
Hao wote waliperform vizuri. Muangalie Torres alivaa namba 09, na sasa ni Morata 09
Ngoja tusubiri tuone kama itakua kweli japo haya ni mambo ya kufikirika tu.
Saa 11 jioni,leo dstv nasikia hawana haki ya kuonesha mechi hiyoLeo game saa ngap jmn af naskia
Supersport wamedinda kuonyesha hii ngarambe yenu
Kwan hii game n mdhamin n Yule YuleSaa 11 jioni,leo dstv nasikia hawana haki ya kuonesha mechi hiyo
aani ni maajabu yule mandevu kubeba world cup awashukuru wakina mbape[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lakin amebebe kombe kwa msaada wa ngolo kante
Sijajua may beKwan hii game n mdhamin n Yule Yule
Anaedhamin carabao au
maana hata. Carabao Huwa hawaonyeshSijajua may be
Haa haa haa Alf mjinga alicheza karbia game zoteY
aani ni maajabu yule mandevu kubeba world cup awashukuru wakina mbape