Real ishu sio pesa ila walisema chairperson wa Spurs ni sturbon, hataki hata kukaa mezani kujadili.
Needhani Kabla ya Kuangalia
The Sun wanasema Nini basi ungeangalia Uhalisia.
Ushawishi Wa Real na Barcelona hauanzi Kwa Chairman, Bali Wanaanza Kwa Mchezaji Mwenyewe Baadae Mchezaji Ndiyo Anapeleka Transfer Request.
Lakini Kutokana na Soko la Wachezaji Lilivyo Kwa Sesa! Hii Tabia ya Real na Barcelona Kutuonea Kwa Timu za Kiengereza basi inaendea Kuisha na Hawataweza tena Kuja Kuvunja Timu zetu Kwa Kuwachukua Wachezaji Nyota.
Watakachofanya Kwa Sasa Ni Kusubiri Mchezaji Amalize Mkataba ili wampate bure kama Wanavyovizia Kwa Hazard.
Kwasasa Real inahitaji Kuwareplace Wachezaji 3 ambao Ni
Ronaldo, Benzema na Bale...
Na interest yao ilikuwa
Neymar, Salah, Hazard na Harry Kane..
Makadirio ya Bei Zao inakisiwa Ni:
1) Neymar Β£300m
2) Kane Β£200m
3) Salah Β£200m
4) Hazard Β£150m
Sasa Kuwanunu Wachezaji Hao unasema pesa sio issue?
Hapo na utajiri alionao baso Hawezi Kununua Wachezaji Wawili Kwa pamoja Hata iweje... Pia FFP itamsubiri...
Na Ndiyo mana Wamesamehe Kwa Neymar, Kwa Salah na Kwa Kane, Wanamshawishi Hazard na Curtois wasiongeze Mikataba ili Kuwapata Kwa bei ya Chini au Wawapate bure.