kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,975
- 3,824
Huyu mtu hata nikipita pita majukwaa mengine haonekaniHivi ntuzu kapotelea wapi anaonekana kweli huku
Huyu mtu hata nikipita pita majukwaa mengine haonekaniHivi ntuzu kapotelea wapi anaonekana kweli huku
bado IPO sijui mhafaka ni liniWana blues mpo?
Vipi cinema ya Sarri kuja darajani bado haijaisha tu
Haaa haa haa haaa haa haa haaaNgoja kwanza WC iishe tutajua mbivu na mbichi
Kuna habari ganiHumu ndani wazima kweli
Tumerudi
Nimeingia huku nimekuta kumepoa sanaKuna habari gani
Wapo weeediii kapuuuuuuNimeingia huku nimekuta kumepoa sana
Mentor, ntuzu, kalou na wengine sijui hawajui kama Jf imerudi
Tuko mkuu, tunatizama akina Hazard world cupNimeingia huku nimekuta kumepoa sana
Mentor, ntuzu, kalou na wengine sijui hawajui kama Jf imerudi