Kubali Conte alikosea ku-handle issue ya Diego Costa msimu huu karibia wachezaji 4 wa Chelsea walipishana nae (Luiz,Rudiger,TBO,Hazard & Willian) lakini wote walipopewa nafasi walicheza na kuipigania timu makocha kupishana na wachezaji ni kawaida baada ya hapo wanasahau na kuendelea kufanya kazi pamoja hii issue ya Costa angeifanya Mourinho sidhani kama kuna mtu angemteteaHe had never enjoyed life at London. Find more sources of information
Simtetei mchezaji mwenye nidhamu mbovu kamwe.....mchezaji sawa na mwanafunzi darasani huwezi kuwa juu ya mwalimu.....Kubali Conte alikosea ku-handle issue ya Diego Costa msimu huu karibia wachezaji 4 wa Chelsea walipishana nae (Luiz,Rudiger,TBO,Hazard & Willian) lakini wote walipopewa nafasi walicheza na kuipigania timu makocha kupishana na wachezaji ni kawaida baada ya hapo wanasahau na kuendelea kufanya kazi pamoja hii issue ya Costa angeifanya Mourinho sidhani kama kuna mtu angemtetea
Kama Costa hakupenda maisha ya London why hakutaka kuondoka wakati Mourinho anafundisha?
Unaweza kuelezea how Costa alikuwa juu ya mwalimu?Simtetei mchezaji mwenye nidhamu mbovu kamwe.....mchezaji sawa na mwanafunzi darasani huwezi kuwa juu ya mwalimu.....
Kuna mambo mengi sana sisi mashabiki hatuyajui na uongozi wala Conte mwenyewe hauwezi kuyaanikaBaada ya saga la China mbona Costa alitulia tu na akawa na focus uwanjani, second phase ya msimu hata utata wake uwanjani ulipungua. Mapungufu mengine ni personality yake na yalikuwa hayana impact kwenye mechi wala trainings, he was giving his 100% akiwa uwanjani. Hata kulalamika kwake baada ya kutumiwa SMS na Conte ni kuwa hakutegemea baada ya kujirudi kuwa angetimuliwa kwa namna ile. Namuheshimu Conte ila sijawahi kumuelewa kwa nn alimua kumalizana na Costa kwa njia ile, mpaka leo sijawahi kumuelewa.
Mrusi amekuwa Muisraeli sasa, his ties na Putin zinampa matata kidogo na Waingereza ila najua he will manuver his way out of it. So mkuu no worriers.Nimekuja Kistaarabu na sikuja Uchochezi Lakini Ukweli Ni Kuwa Mrusi Kamfanya Conte Scapegoat..
Sijui ana Ajenda gani! Lakini Kwa Sasa Abramovic hayuko saw.. ↓↓
Chelsea in limbo: Abramovich puts new stadium on hold and withdraws UK investor visa application as he plays a game of poker over the managerial situation and loses ground to rivals in transfer market.
Worrying times for [HASHTAG]#cfc[/HASHTAG]
Mrusi amekuwa Muisraeli sasa, his ties na Putin zinampa matata kidogo na Waingereza ila najua he will manuver his way out of it. So mkuu no worriers.
Inshu ya kutotangaza target sio big deal sana kwangu since there are a lot of clubs ambazo mpaka sasa hazijatangaza targets zao na pia mara nyingi huwa hakunaga "matangazo" ya targets rather than romours ambazo baadae huwa kweli au uongo. As israel citizen now Abramovich anaruhisiwa kwenda uk bila kuomba Visa na kukaa mpaka miezi sita japokuwa hata kuwa na work permit. Lets watch how this will unfoldWakati Wamemkatalia VISA ya Kuingilia Uengereza Kama Muekezaji nahisi Hawajatangaza Wazi tu Lakini inaonesha Wameshampiga Ban kuingia Uengereza.
Mzozo Wa England na Russia umemfanya Abramovic Kuwa Middle of the War.
Na Huenda Serikali ikamuandalia Mazingira Ya Kumfanya Timu aiuze! Na dalili Za hivyo na Huu Utata aliofanya Asimamishe Ujenzi Wa Uwanja Mpya ambao ulikuwa Tayari Uanze..
Na Mpaka sasa Timu Kutotenga Fungu lolote la Usajili.
Na Mpaka Sasa Chelsea Hawajatangaza Target Yoyote wanayotaka kuisajili.
Mkuu hapo Siasa Za Kimashariki na Kimagharibi Zinaiathiri Chelsea directly.
Ameshapata uraia wa Israel, anaweza kuingia na kutoka london muda wowote ule bila hata ya kuomba Visa.Mazee suala la abramovic inakuaje ..kuna uwezekano wa kubaki kweli London?
Hata mimi sikumpenda Costa kwa nidhamu yake mbaya lakini mashine ya magoli angetusaidia sana msimu ulioisha. Alielewana sana na Fab katika makombe yote mawili tuliyoweza kubeba ya 2014/15 na 2016/17Simtetei mchezaji mwenye nidhamu mbovu kamwe.....mchezaji sawa na mwanafunzi darasani huwezi kuwa juu ya mwalimu.....