Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20180402_204239.jpg

Kila la Kheri na Europa League yenu...
 
Matokeo fair kabisa kwa kocha kumuondoa Costa na kuruhusu matic kuondoka ,naye pia ataondoka team hii mwakani utajiuliza ilikuwa wapi. City amestahili kavunja karekodi ketu 95 point mwisho kabisa baada ya kuona Gabriel Jesus akitupia ndio nimejua kwanini Brazil kijana ni first eleven firmihno akisubiri .mpira hauitaji hasira
 
Tayari umeshadonolewa Kimoja...

Nazani ukifukua Makaburi utaiona Post yangu humu Kuwa Niliwaambieni Kuwa Benitez Ni Legend Wa Liverpool hatowaacha Salama Mukanibishia..
Acha mbwembwe wewe kilichotokea ni matokeo ya mpira. Usijikute wewe ndio mtabiri.

Sasa kwa taarifa yako. Chelsea huwa hana rekodi nzuri kwa Newcastle hata kabla ya Benitez kufika pale.
 
Acha mbwembwe wewe kilichotokea ni matokeo ya mpira. Usijikute wewe ndio mtabiri.

Sasa kwa taarifa yako. Chelsea huwa hana rekodi nzuri kwa Newcastle hata kabla ya Benitez kufika pale.
Ndugu mchambuzi ndo kashasema tena... Sisi hatuna kinyogo nao
 
Umri wangu mdogo Sana miaka 30 sijawahi kuona team inayoitwa Liverpool ikichukua epl Labda Liverpool ya Colombia au Bolivia

Lkn umewahi waona wanachukua ule mndoo mkubwa wenye malipo makubwa wa UCL?
 
Hii Game Ya BHA tunacheza Anfield Wakati Wewe Muda Huohuo unacheza Away na Newcastle (RAFA BENITEZ).

Hii Mechi Yetu Sisi Home Hatutakuwa Na Pressure Ya #CL tofauti Na Mbili Zilizopita (WBA & Stoke) ambazo tulikiwa na Pressure Ya Roma Katikati huku Wakiwa Wanataka Kujinasua Kushuka Daraja.

Lakini Hawa BHA wako Safe hawana Pressure ya Kushuka Daraja wala Kugombania [HASHTAG]#Europa[/HASHTAG]! Kwahiyo Ni Game easy Kabisa.

Nakukumbusha tu Kuwa Una Newcastle away! Ni game Ngumu Hii Kuliko unavyodhania!!!
Mmh
 
Matokeo fair kabisa kwa kocha kumuondoa Costa na kuruhusu matic kuondoka ,naye pia ataondoka team hii mwakani utajiuliza ilikuwa wapi. City amestahili kavunja karekodi ketu 95 point mwisho kabisa baada ya kuona Gabriel Jesus akitupia ndio nimejua kwanini Brazil kijana ni first eleven firmihno akisubiri .mpira hauitaji hasira

Poleni sana wanadarajani
 
Katkat ya Juma Chelsea *alijamba* tukapiga kelele weeeee.Leo kaamua *kunya* kabisaaa
 
Chelsea and Arsenal's possible Europa League group stage opponents next season:
Real Betis
Villarreal
Bayer Leverkusen
Krasnodar
Standard Liege
Akhisarspor
Slavia Prague
(more to come) [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom