Hehehe Chelsea wakimleta Torres watakuwa wametumia karibu 100 mil ndani ya miezi sita and who said ni Citeh pekee ndio wanajaribu kununua success?
Ramires £18m, Torres £50, Luiz £21m, and Benayoun £5m
Hv Abromo (najua ndo man behind the deal), anadhan kwel anaweza akampata mcheza class ya Torres dirisha dogo hili?, let alone kumleta mchezaj the like of Torres London, ngumu sana. I find hm gambling tu, bora akamchukue Tshabalala tu Sauzi.
Tuseme mara ngapi? Tembelea tembelea blogs na forums za Man Utd utaona.... Sioe hizo massive expenditures zimelipa can you say the same kwa timu yako?We're just following onto Manure footsteps. Mbona ninyi mkinunua hata watoto amabo hamjawaona wakicheza kwa £8m hamsemi?
Tor the Res ....... ....... ...khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Mafioso tamaa itawaua khe khe kheeeeeeeeeeeee
BTW wachezaji wengi ambao husajili kwenye jan window performance yao huwa sio nzuri ngoja tuone huyu kama ataweza kuwabeba pensioners.
Champions Chelsea report £70.9m loss ..... .....
The club's overall loss was greater than the £44.4m seen the previous season but some way short of the record £140m loss announced by Chelsea in 2004/2005.
Let me eat my own words, aisee. Nasoma hapa Transfer Deadline Day Live - ESPN Soccernet nakutana na huyu Mhispaniola kuwa ameshatua Stamford. Duh! for sure sijawai tegemea dili hili kukamilika Junuary.
Race ya kutwaaa EPL inakuwa more exciting now.
Tor the Res ....... ....... ...khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Mafioso tamaa itawaua khe khe kheeeeeeeeeeeee
BTW wachezaji wengi ambao husajili kwenye jan window performance yao huwa sio nzuri ngoja tuone huyu kama ataweza kuwabeba pensioners.
Wakati huo huo Loser fools fans show their anger ..... ....
Chacha chinachubiri jumapili tione mtakapokumbana
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuseme mara ngapi? Tembelea tembelea blogs na forums za Man Utd utaona.... Sioe hizo massive expenditures zimelipa can you say the same kwa timu yako?
On the other hand hii move ya Torres inanikumbusha Shevchenko's naona imetoka moja kwa moja kwa Roman.
...huyu Torres mgonjwa mgonjwa... mimi nampa game mbili tatu tu za Chelski kisha mtamsikia yupo juu ya mawe.
Hili dili si la Acheni Lotte, ni 'bao la kisigino' toka kwa Abramovich ili Chelski watwae Champions League Cup...Mrusi nuksi yule!
Chelsea in the red again ... .... .....
They will never improve na kuanzia 2012 watakuwa out of Champions League ... ... mark my words. khe khe kheeeeeeeeeeeee
Tuseme mara ngapi? Tembelea tembelea blogs na forums za Man Utd utaona.... Sioe hizo massive expenditures zimelipa can you say the same kwa timu yako?
On the other hand hii move ya Torres inanikumbusha Shevchenko's naona imetoka moja kwa moja kwa Roman.
Fernando Torres na David Luiz are officially ndani ya Bridge.
I don't care ... .... ...
TORRES JOINS CHELSEA
Posted on: Mon 31 Jan 2011
Chelsea Football Club is delighted to announce the signing of Fernando Torres on a five-and-a-half year contract.
The move to bring the Spanish World Cup and European Championship winner to London from Liverpool for an undisclosed fee was completed on Monday evening.
Speaking at Stamford Bridge after finalising the move, Torres said:
'I am very happy with my transfer to Chelsea and I am looking forward very much to helping my new team-mates this season and for many years to come.
'Having played against Chelsea many times since coming to England, and in some very big games I will never forget, I know there are many great players here and I will work hard to win a place in the team. I hope I can score some important goals for the supporters to enjoy this season.'
Chelsea chairman Bruce Buck said: 'This is a very significant day for Chelsea, capturing one of the best players in the world with his peak years ahead of him. We have long admired the talents of a player who is a proven goalscorer in English football and Fernando's arrival is a sign of our continuing high ambitious. I hope every Chelsea fan is as excited as I am with this news.'
Chief executive Ron Gourlay added: 'Signing a player of the stature of Fernando Torres benefits the club on many levels. Carlo Ancelotti was keen to add his talents to the squad as we continue our quest for three trophies this season, we are delighted we have succeed with that wish, and this signing will undoubtedly aid the club in realising our worldwide potential.'
TORRES JOINS CHELSEA | Latest Chelsea News | Team & Transfer News | Chelsea FC | Chelsea
Mazee sijaona confirmation ya David Luis! Mazee hebu nitafutie.....!
Naona bado website yetu haijatoa, lakini BBC wanasema Benfica wameconfirm tayari.
Hawa jamaa watatusaidia sana! Hebu niambie wanacheza CL ama wapo cup tied?