Sasa wewe umekuwa msemaji wa Man city au ndio unaw admire nini? Hamia huko tujue moja au uisemee timu yako sio ya wengineTimu nzima ya Chelsea Mwaka 2018 wamefunga Magoli 12 tu.
Wakati Sergion Aguero Peke Yake Mwaka 2018 amefunga Magoli 13. 😀 😀 😀
View attachment 694685
Sasa wewe umekuwa msemaji wa Man city au ndio unaw admire nini? Hamia huko tujue moja au uisemee timu yako sio ya wengine
Hivi Conte anajua kuwa Chelsea bila Bakayoko na Carhill Chelsea inashinda lakini hao wazito wakiwepo ni uchochoro wa kufungwa?
ww dawa yako ni swansea!Nahisi Leo ni Siku Yenu Ya Kufurahi
ww dawa yako ni swansea!
Naona ban imeisha mnarudi mmoja mmoja3-0, very unfortunately
Ahsante kwa kuja..Naona ban imeisha mnarudi mmoja mmoja
Mkuu unakop ovyoZola wants Hazard to be used like he was
2 hours ago Evening Standard
The legend disagrees with Conte's recent insturctions
Zola: ''When Hazard plays deeper, it allows him to come off the pressure and and run at players. It’s perfect for him.
''He is very similar to what I was as a player. If I had to be the main striker and stay around the box, it would limit my possibilities, my strength. While if I had more space to go around and look for the ball, my game was much better.
''I’m sure having a main striker will help Hazard’s game. We saw in the last games that Chelsea were not as good in the last 20 metres.''
Ww jamaa unaboa ,unakop ovyo,6 key one-liners as Chelsea return to winning ways against West Brom
8 hours ago CFC Live
Hazard has scored more Premier League goals against West Brom than he has against any other team in the competition - 7.
Big talking points: Hazard brilliance ignites Chelsea; dilemma over Giroud and Morata; Chelsea faithful still behind Conte.
Player ratings: Hazard (8) in supreme form, Giroud (7) with an assists, Christensen (7) elegant and assured, Azpilicueta (7) solid at the back.
Conte: 'We are going to try to fight against speculation about my future'.
Hazard: 'When you play for Chelsea, you have to give everything on the pitch'.
Chelsea are back into the top 4 with 53 points.
SoTimu nzima ya Chelsea Mwaka 2018 wamefunga Magoli 12 tu.
Wakati Sergion Aguero Peke Yake Mwaka 2018 amefunga Magoli 13. 😀 😀 😀
View attachment 694685
We ulipigwa na swansea alkua nafas ya ngapWacheni Mbwembwe hizo! Kubahatisha leo Kwa Kibonde Kinachoshika Mkia (Nafasi ya 20) Ndiyo Munajiona Mushakuwa na timu?
Hebu subirini angalau zipite Game 3 ili muone kama Mumeshakuwa na Consistency au bado.
We na timu yako nzur upo wapNaona kumekucha bwana na chelsea yenu mbovu!!
Kasema pia Morata ataanza kesho kuongeza match fitnessConte on injuries: "Bakayoko is out, Luiz is out and Barkley is out. Then I have a couple
of situations that I have to check
We ulipigwa na swansea alkua nafas ya ngap