Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Unajua kuwa Chelsea ametumia pesa nyingi kusajiri wachezaji msimu huu kuliko Liverpool? Sema bodi imesema haitanunua mchezaji gharama kubwa kuliko thamani yake. Kumbuka Chelsea ni biashara ya mtu, so mwisho wa siku watanunua wachezaji wa kawaida ili kocha awadevelop.
Kama hata fukuzwa.Mimi nahamia arsenal.
Siyo kweli kwamba haipendi Chelsea ila moyo wake upo Madrid kwa sababu ndipo familia yake ilipo.View attachment 691929
Huyu hana mapenzi na timu tena wansababisha migawanyiko ktk timu
Azipilicute kanunuliwa kwa 7 million pound. Leo unafikiri anaweza kuuzwa kwa kiasi gani?Mchezaji Wa Kawaida Unaenunua Ukamdevelop Ni Yule aliye na Umri Chini Ya Miaka 22- years.
Lakini Kwa Barkley, Drinkwater na Giroud mkuu hapa Munakwenda Kuwadevelop Kitu Gani???
Hii si Sera Ya Kudevelop Vipaji Bali Ni Sera Ya Kununua kwaajili ya Kutumia.
My Take: Kumzidi Liverpool Katika Usajili haimaanishi Kuwa Ndiyo Unaendana na Soko la Sasahivi.
Drinkwater ana miaka 27 Amenunuliwa kwa zaidi ya £ 30 m Mchezaji wa kama ananunuliwa kwa ajili ya kuimprove Team siyo kutengenezwa.Azipilicute kanunuliwa kwa 7 million pound. Leo unafikiri anaweza kuuzwa kwa kiasi gani?
Alonso naye alinunuliwa kwa 7 million pound unafikiri leo yupo katika thamani ipi?
Barkley na Drinkwater bado ni wachezaji wachanga. Ndani ya misimu miwili wanaweza kuisaidia timu lakini pia wakaitengenea timu faida
OK.na sahau kuhusu kumbe lolote msimu huu.
Mkuu tuachie Chelsea yetu. Sisi tunaishangilia na kuipenda Chelsea. Mvua inyeshe jua liwake ni Chelsea. Blue is a colour.
Hivi Ndani Ya Chelsea Bado Kuna Fans ambao Hawajui Kuwa Chelsea ana Project Kubwa Zaidi Ya Ujenzi Wa Uwanja Mpya?
Je wanajua Budget ya Hiyo Project?
Hapo Ndiyo Panapoanzia tatizo! Kiukweli Kutokana na ujenzi Wa Uwanja Mpya Tusitegemee Chelsea Kuingia Sokoni Na Kununua Mchezaji Wa £90m+ Hata siku moja.
Kazi ya kocha siyo tu kusimamia mazoezi na kupanga first eleven. Even a prayer with 30 yes can be improvedDrinkwater ana miaka 27 Amenunuliwa kwa zaidi ya £ 30 m Mchezaji wa kama ananunuliwa kwa ajili ya kuimprove Team siyo kutengenezwa.
Timu yao ni academy ya BarcaNdugu mchambuzi unajua funding za project nzima zikoje? au hata dating za project ? Au una assume kuwa tokea aje mrusi Chelsea inaendeshwa kwa pesa za mfukoni kwake mpaka leo? Ndugu mchambuzi Project inayotegemewa kuisha msimu wa 2024 kwa maana kuwa Chelsea hatosajili kwa hela kubwa mpaka mwaka huo? kabla ya Morata last time Chelsea kusajili mchezaji wa hela nyingi ilikuwa january 2011 na alikuwa Torres tokea kwenu kwani kulikuwa na project gani ambayo ilituzuia tusisajili tokea hapo? na since then tumeshashinda all major trophies kama club bila kutumia hizo 90m+ . Ndugu mchambuzi ikibidi kutumia hela kubwa kusajili Chelsea itatoa tu regardless project zinazoendelea kwa hiyo sioni Tatizo hapo.
Kule kwenu kuna project gani mbona mnauza ma staa wenu kila siku ya ku replace na average players ?
Ndugu mchambuzi unajua funding za project nzima zikoje? au hata dating za project ? Au una assume kuwa tokea aje mrusi Chelsea inaendeshwa kwa pesa za mfukoni kwake mpaka leo? Ndugu mchambuzi Project inayotegemewa kuisha msimu wa 2024 kwa maana kuwa Chelsea hatosajili kwa hela kubwa mpaka mwaka huo? kabla ya Morata last time Chelsea kusajili mchezaji wa hela nyingi ilikuwa january 2011 na alikuwa Torres tokea kwenu kwani kulikuwa na project gani ambayo ilituzuia tusisajili tokea hapo? na since then tumeshashinda all major trophies kama club bila kutumia hizo 90m+ . Ndugu mchambuzi ikibidi kutumia hela kubwa kusajili Chelsea itatoa tu regardless project zinazoendelea kwa hiyo sioni Tatizo hapo.
Kule kwenu kuna project gani mbona mnauza ma staa wenu kila siku ya ku replace na average players ?
Waendelee kuhesabu miaka tu kwa kweli, kombe la Epl wataishia kuliona kwenye TV tu..Timu yao ni academy ya Barca
Hahahaha ndio maana mnaitwa WOWOWO FC mchezaji aliyesajili kwa £ 30 m ana miaka 27 unaanzaje kumtengeneza wewe Mchezaji wa £ 30 niwa kuimprove Team Endelea kusubiri Conte amtengeneze Giroud mwenye miaka 31 aje kuwa LewandowakiKazi ya kocha siyo tu kusimamia mazoezi na kupanga first eleven. Even a prayer with 30 yes can be improved
Timu yao ni academy ya Barca
Waendelee kuhesabu miaka tu kwa kweli, kombe la Epl wataishia kuliona kwenye TV tu..
View attachment 692195
Hivi Munajua Kama Hii ni Daharau aliyowafanyia?
Goli NNE wawafunge! Mpaka Dole la Kati Wawanyoosheeni!!!
Kuimprove kuna maana ya kuexploit potentials. Haimaanishi kuwa Giroud asipomfikia Lewandosic basi hajaimproveHahahaha ndio maana mnaitwa WOWOWO FC mchezaji aliyesajili kwa £ 30 m ana miaka 27 unaanzaje kumtengeneza wewe Mchezaji wa £ 30 niwa kuimprove Team Endelea kusubiri Conte amtengeneze Giroud mwenye miaka 31 aje kuwa Lewandowaki
Drinkwater????????huyu bado mchanga!!!!!!!Azipilicute kanunuliwa kwa 7 million pound. Leo unafikiri anaweza kuuzwa kwa kiasi gani?
Alonso naye alinunuliwa kwa 7 million pound unafikiri leo yupo katika thamani ipi?
Barkley na Drinkwater bado ni wachezaji wachanga. Ndani ya misimu miwili wanaweza kuisaidia timu lakini pia wakaitengenea timu faida