Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Duh hawa Watford sio watu wazuri kabisa, yaani hawana huruma kabisa na wenzao

[HASHTAG]#KipigoChaMwizi[/HASHTAG]
 
Hivi Conte kila siku anafanya mambo hayo hayo kurudia makosa yake hata hajifunzi. Bila kumpanga bakayoko na Cahill kwenye kikosi hata wakiwa na perfomance mbaya kwenye mechi iliyopita.
Katika mechi mbili tunaruhusu goal 7 kwel Tena kwa team za kawaida na tuna Barcelona,Man U mwez huo huo[emoji26][emoji26][emoji26][emoji46][emoji46]
 
Habari zitufikie.
Yaani ndani ya dakika 6
Goli 3?
Usalama wa conte upo kwa Barcelona. Akifungwa safari itamuhusu.

Bakayoko na conte watakuwa na mahusiano binafsi.
Huyu anatimuliwa hata kabla ya hii match
Karibu darajani Luis Enrique
 
In Conte we TRUST
Carhill uchochoro na walijua hivyo Watford
David Luiz nae ni uchoro wapinzani wanajua ila Conte kawa kama Mbuni
 
Musipojiangalia upya Haya matokeo yatamkibizia Hazard Real Madrid
 
Bakayoko alikuwa hovyo kabla ya redcard huyu ndio kazingua
Conte ndiye tatizo kwa kulea jipu badala ya kulitumbua mapema. Bakayoko alikuwa uwanjani kimwili tu, akili yake haikuwepo. Conte alipaswa kumtoa mapema kabla ya kufikwa na yaliyomkuta Bakayoko na kui-cost team. Kwa ujumla kwa sasa timu haina morali ya ushindi tuliyozoea kuiona siku za nyuma. Kutakuwa na tatizo nyuma ya pazia kwenye timu pamoja na uongozi ambalo hatulijui but time will tell, no secret shall remain covered forever!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…