Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #46,001
Duh sasa tunanunua kikosi kizima chq Leicester!!! Na je, tunamhitaji huyu kiasi hicho ama ndo kuja kuchukua nafasi ya Fab?
Umekuwa Numbisa siku hizi.....????Chelsea imecheza mechi nyingi zaidi vs Arsenal kuliko timu nyingine yoyote katika Premier League; mchezo wa usiku wa leo utakuwa mchezo namba 193, na endapo The Blues watapata japo goli moja basi watatimiza magoli 100 vs Arsenal kwenye ligi pekee, kiujumla Chelsea wamefunga magoli 267, na Arsenal wamefunga magoli 250.
Mchezo wa kwanza kabisa baina ya timu hizi ulipigwa mnamo 9 November 1907, ambapo Chelsea walishinda 2-1.
:
Takwimu za head to head zinatuonyesha kwenye mechi 192 - Chelsea wameshinda mechi 62, Arsenal kashinda 74 na sare 56.
:
Didier Drogba ndio mchezaji ambaye amefunga magoli mengi zaidi katika mtanange wa wawili hawa - amefunga magoli 13.
:
Mchezo ambao ulitoa ushindi mkubwa ulipigwa mnamo 22 March 2014, Chelsea chini ya Jose Mourinho ikamtandika Arsenal 6-0.
Umekuwa Numbisa siku hizi.....????
Nan kakutukana ama kakusimanga......????hamia jukwa laa siasa haya ni majukwa ya habar na michezo hapa hamna matusi wala kusimangana.
Nan kakutukana ama kakusimanga......????
Hata Chelsea kupitia kwa kocha wetu Conte walisema hawahitaji kumsajili Chiellin. Nadra sana kwa Chelsea ya sasa kusajili mchezaji aliyezidi miaka 30 au inakaribia ndio maana hata waliopo waliozidi 30 hupewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja kwanzaMATUMAINI ya Chelsea kuinasa saini ya Giorgio Chiellini, yamefutika baada ya beki huyo mkongwe kupanga kuongeza mkataba mwingine na klabu yake ya Juventus.
Chiellini ni miongoni mwa nyota wanaowindwa vikali na kocha wa Chelsea, Antonio Conte, akiamini uzoefu wake utamsaidia kubeba taji kubwa la Ulaya msimu huu.
Babu yule wa nn cyeMATUMAINI ya Chelsea kuinasa saini ya Giorgio Chiellini, yamefutika baada ya beki huyo mkongwe kupanga kuongeza mkataba mwingine na klabu yake ya Juventus.
Chiellini ni miongoni mwa nyota wanaowindwa vikali na kocha wa Chelsea, Antonio Conte, akiamini uzoefu wake utamsaidia kubeba taji kubwa la Ulaya msimu huu.
Kwa msimu huu mechi kama ya leo, nikujidanganya kama hutamweka Cahill kwenye lineup yako.Napenda 3-4-3 kuliko 3-5-2
Rudiger... Christensen... Azpilicueta
Alonso... Drinkwater... Kante... Moses
Hazard... Morata... Willian