Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Hakukuwa na shida kwenye midfield katika ile game labda tunatofautiana katika kuusoma mchezo.Shida ilikuwa kwa midfield brother...kaangalie tena replays.
Halafu pia ndiyo maana nimependekeza Morata - kwa msimu huu tu lakini - atokee benchi.
Definitely haitakuwa mechi zote.Hakukuwa na shida kwenye midfield katika ile game labda tunatofautiana katika kuusoma mchezo.
Back to the point,Morata atokee bench 19 games zilizobaki hivi mkuu are you serious na unachozungumza kweli?
Kweli Chelsea itamaliza nafasi ya 2/3 kwa kuanza na Willian Hazard Pedro?
Nadhani hutaki kumuona Conte akiwa Chelsea msimu ujao
Kiukweli hii ni changamoto sana, nakumbuka msimu huu kipindi cha usajili.. Mapenndekezo mengi ya konte yalitupiliwa njeTatizo Chelsea always kuna Head Coach ambae ndio Conte kwa sasa hakuna Team Manager.Tofauti ya Head Coach na Manager ni kwamba Manager anakuwa na authority kubwa zaidi katika timu.Katika suala la usajili Conte anaweza kupendekeza wachezaji anaowataka lakini sio mara zote Club itakubaliana nae sometimes anaweza kumtaka huyu akaletewa yule kwasababu yeye hana authority kubwa katika swala hilo ndio maana wachezaji wengi ambao anawataka huwa hawapati au anachelewa kuwapata.Kuna mama mmoja anaitwa Marina Granovskaia na Michael Emenalo kabla hajaondoka hawa ndo wana deal na biashara zote za timu zinazohusu mikataba kwahiyo ukipendekeza mchezaji wasipompitisha wao hatokuja ng'o.
Conte alipendekeza majina ya washambuliaji anaowataka majira ya joto lakini matokeo yake walimletea Morata tu.
Morata yuko fit, probably ataanza game ya leoUnajua kwamba ukianza hivyo unakosa quality ya no 9? refer game ya City alipotoka Morata akaingia Willian kilichotokea mabeki wa kati wa City wakapata likizo ya muda uwanjani.Hio formation ya kuanza hivyo ina work tunapocheza na timu ambazo ni under dogs lakini huwezi kucheza msimu mzima hivyo it won't work out.
Shida ilikuwa kwa midfield brother...kaangalie tena replays.
Halafu pia ndiyo maana nimependekeza Morata - kwa msimu huu tu lakini - atokee benchi.
Nadhani ukiwaita Man u genge la wahuni itapendezaHIVI HII NI TIMU AU GENGE LA WAHUNI!!!!!!????
Halikuwa kosa kumuondoa Costa kama ulifatilia scenario nzima Costa kaondolewa kwasababu za kinidhamu ikumbukwe hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu.tulifanya kosa kubwa kumruhusu kosta aende morata alitakiwa ajifunze nyuma ya kosta
Naielewa sana namba kumi yao mjerumani Pascal GroB.Today Epl
18:00
CHELSEA
Vs
BRIGHTON & HOVE ALBION
Sijui kwanini hatumpi nafasi Kenedy kama tulivyofanya kwa Christensen anaweza sana yule Chalii.Chelsea may not need to sign new left-back in January, injured full-back fighting to get fit >> Chelsea may not need to sign new left-back in January, injured full-back fighting to get fit - Home of latest updates and news
Luiz ataondoka mwishoni mwa msimu naliona hilo likitokea kabisa.Chelsea sign a striker, Christensen demands new deal and Luiz eyes move >> Chelsea sign a striker, Christensen demands new deal and Luiz eyes move - Home of latest updates and news
Anajua lakn utoto na usharobaro. Ni mzuri kwa ukabaj kuliko AlonsoSijui kwanini hatumpi nafasi Kenedy kama tulivyofanya kwa Christensen anaweza sana yule Chalii.
Roman anampenda yule cdhan kama atamruhusu. Boss ndo alimrudishaLuiz ataondoka mwishoni mwa msimu naliona hilo likitokea kabisa.