The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Unajua kama Everton ana makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea? Hiyo isiwe excuse lakini ukweli ni kwamba Everton imeimalika. Lakini tatizo kubwa la Chelsea ni umaliziaji. Na hapa anahitajika mtu wa kumpa ushindani Morata lkn pia kusaidia pale Morata anapokosekana uwanjaniSASA kama tunamiliki mipira mbona hatushindi, tunashindwa kufunga timu ndogo. Chelsea ni timu kubwa, tulichukua UEFA ndogo mwaka 1997, SASA kwa mpira huu, tutakufa nyingi MNO KWA Barcelona KBS
Umeandika Morata anaigharimu timu kweli game 2-3 yeye majeruhi,sasa is your statement valid? nimekuelesha in friendly way unaingiza habari za kima na nyanya chungu,una utimamu kichwani?Umesoma ujumbe wangu ukauelewa vzr au una ongea tu kisa una mdomo wa kuongea kima juuu ya mti wa nyanya chungu www
Unajua everton alikula ngapi??!!Yule mzee mwenye kisukari na presha ya kushuka pale Emirates ana majibu mazuri ya swali lako.
Everton ina makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea tangu lini? unajua EPL imeanzishwa mwaka gani? kwa kukusaidia EPL imeanza February 20,1992 na Everton ni miongoni mwa klabu ambazo hazijawahi kushinda EPL pamoja na ndugu zao wa Merseyside,Liverpool.Unajua kama Everton ana makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea? Hiyo isiwe excuse lakini ukweli ni kwamba Everton imeimalika. Lakini tatizo kubwa la Chelsea ni umaliziaji. Na hapa anahitajika mtu wa kumpa ushindani Morata lkn pia kusaidia pale Morata anapokosekana uwanjani
Basi kama tunaaza kuesabia hapo man hatakuwa ajafikisha Mara 20Everton ina makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea tangu lini? unajua EPL imeanzishwa mwaka gani? kwa kukusaidia EPL imeanza February 20,1992 na Everton ni miongoni mwa klabu ambazo hazijawahi kushinda EPL pamoja na ndugu zao wa Merseyside,Liverpool.
NB:ACHA KUONGOPEA WATU/KUZUNGUMZA USIYOYAJUA/KUWA NA UHAKIKA NAYO.
Swadakta kabisa wanaposema Man Utd ana mataji 20 ni kuanzia ile First Division League iliyoanza 1885 au 1888 hadi sasa.Liverpool makombe yake 18 yote ni ya First Divison ndio maana tunasema Liverpool hajawahi kuchukua EPL.Mwaka 1992 February 20 Ligi ikabadilika na kuwa FA Premier League kwanzia mwaka huo Man Utd kachukua mara 13,Chelsea mara 5,Arsenal mara 3,Man City mara 2,Blackburn Rovers mara 1 na Leicester City mara 1.Basi kama tunaaza kuesabia hapo man hatakuwa ajafikisha Mara 20
Ulitaka niseme EFL/EPL? Maana tangu mwaka 1888 ligi ya Uingereza ilikuwepo na ndo ligi kongwe zaidi. Kilichofanyika 1992 timu 70 zilizokuwa zinashiriki EFL ziligawanywa. 22 zikabaki EPL na nyingine chini. So sijaona haja ya povu lote hiloEverton ina makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea tangu lini? unajua EPL imeanzishwa mwaka gani? kwa kukusaidia EPL imeanza February 20,1992 na Everton ni miongoni mwa klabu ambazo hazijawahi kushinda EPL pamoja na ndugu zao wa Merseyside,Liverpool.
NB:ACHA KUONGOPEA WATU/KUZUNGUMZA USIYOYAJUA/KUWA NA UHAKIKA NAYO.
Everton ina makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea tangu lini? unajua EPL imeanzishwa mwaka gani? kwa kukusaidia EPL imeanza February 20,1992 na Everton ni miongoni mwa klabu ambazo hazijawahi kushinda EPL pamoja na ndugu zao wa Merseyside,Liverpool.
NB:ACHA KUONGOPEA WATU/KUZUNGUMZA USIYOYAJUA/KUWA NA UHAKIKA NAYO.
Siku nyingine ukisikia premium jua INA maanisha kitu chenye hadhi ya juu. So ukisikia English premier league maana yake ni ligi kuu ya Uingereza na ligi kuu imekuwepo kabla hata ya 1992 tofauti majina, idadi ya timu, wadhamini na mambo ya kawaida but that was premier by then.Swadakta kabisa wanaposema Man Utd ana mataji 20 ni kuanzia ile First Division League iliyoanza 1885 au 1888 hadi sasa.Liverpool makombe yake 18 yote ni ya First Divison ndio maana tunasema Liverpool hajawahi kuchukua EPL.Mwaka 1992 February 20 Ligi ikabadilika na kuwa FA Premier League kwanzia mwaka huo Man Utd kachukua mara 13,Chelsea mara 5,Arsenal mara 3,Man City mara 2,Blackburn Rovers mara 1 na Leicester City mara 1.
Umechoka na nani.? Pumzika km wajisikia kuchoka waache sisi wenye roho ngumuTumechoka KBS na matokeo haya, HATUMTAKI CONTE, aondoke TU, tunamtaka ancelote TU
Mkuu nadhani njia yako ushaipata. Siku nyingine ukiingia ovyo ovyo utakula za usoHIVI HII NI TIMU AU GENGE LA WAHUNI!!!!!!????
.Siku nyingine ukisikia premium jua INA maanisha kitu chenye hadhi ya juu. So ukisikia English premier league maana yake ni ligi kuu ya Uingereza na ligi kuu imekuwepo kabla hata ya 1992 tofauti majina, idadi ya timu, wadhamini na mambo ya kawaida but that was premier by then.
Unaongea ka umekunywa haja ndogo ya bashiteMkuu nadhani njia yako ushaipata. Siku nyingine ukiingia ovyo ovyo utakula za uso
Mamluki sijui umetokea wapi weweSASA kama tunamiliki mipira mbona hatushindi, tunashindwa kufunga timu ndogo. Chelsea ni timu kubwa, tulichukua UEFA ndogo mwaka 1997, SASA kwa mpira huu, tutakufa nyingi MNO KWA Barcelona KBS
Mimi ninaifamu Chelsea tangu mwaka 2007 tulipochukua UEFA NDOGO, GUAFRANCO ZOLA alipiga goli la ushindi dk. 75, alikuwa supersub, tukachukua ndoo ya ulaya.
Chelsea hatuna kocha, arudi ancelote TU, tunadraw na Everton, tunafungwa na moyes, tulifungwa na Burnley, HAMNA KOCHA, NI AIBU KWA UONGOZI WA CHELSEA