Conte nilimnawa alipolizingua dume la kazi Diego Costa na kusajili striker mrembo. Hata akitimuliwa leo mimi kwangu shereheCyo kupaki bus bhna timu hakuna ya kupambana anapanga anavyotaka bora afukuzwe tu nimemchukia from naw na siku zote unamuweka bench mcezaji mzuri unatuwekea bakayoko hana ufundi
Pande zote zitabeba lawama. Nakumbuka Conte aliwahi kulalamika kuwa ana kikosi kichache. Yule jamaa mweusi akapingana naye mnoConte nilimnawa alipolizingua dume la kazi Diego Costa na kusajili striker mrembo. Hata akitimuliwa leo mimi kwangu sherehe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani Chelsea ina maadui wengi duh!CHELSEA NDIO TIMU YA KWANZA YA EPL KUFUNGWA TANGU BABU SEYA ATOKE GEREZANI
Msimu ujao hatutokuwa nayePande zote zitabeba lawama. Nakumbuka Conte aliwahi kulalamika kuwa ana kikosi kichache. Yule jamaa mweusi akapingana naye mno
Kwa hivyo tusubiri yatakayojiri, maana ndo mpira
Tatizo watu wanatoa povu mno. Hawaelewi tuMi nawaambia leo tumefungwa kihalali kabisa no lawama kabisa kwa yeyote
Yan wewe kesho utatandikwa bakora nyingi. We leta mbwembwe tuIVI II TIMU NDOTUNAYOENDA NAYO UEFA ROUND INGINE KWELI AU WATATURUHUSU KUSAJILI JANUARY
Lile jamaa nalikubali sana! Si huyu mrembo tuliyeletewaHizi mechi ilikuwa za Mwanaume anaitwa COSTA outstanding striker mtamkumbuka sana
Lile jamaa nalikubali sana! Si huyu mrembo tuliyeletewa
Yan wewe kesho utatandikwa bakora nyingi. We leta mbwembwe tu
Chelsea haina tofauti na njombe mji
Wewe una tofauti gani na Delicious.?Chelsea haina tofauti na njombe mji
Ona sasa unavyonifananisha mzee wakoWewe una tofauti gani na Delicious.?
Hivi na wewe unawaza kabisa utaleta changamoto ligi kuu. Yan wewe na Arsenal hamna tofauti kabisa. Hebu waache wanaume wapambane nyie watoto tupisheni bhana.Hichi Kigenge cha Wapagazi eti Kina Mawazo ya Ubingwa!!!!!