Jipe moyo utashinda...karibu ArsenalTumecheza vizuri kipindi cha kwanza with more possesion lakini no goals, kama tutaanza cha pili kama tulivyomaliza cha kwanza we can get something from the game. Carlo amwingize Lamps, tunakosa creativity pale kati.
Alikuwa saloon nini?Drogba anaanza kipindi cha pili, Mikel anatoka.
Jipe moyo utashinda...karibu Arsenal
Nilitaka kuona jinsi gani mtakavyolia leo....Naona Drogba kawasave hadi dk hiiKibunango unafanya nini huku wewe?
Peasant umeona kitu! Thanks Drogba
Peasant umeona kitu! Thanks Drogba